Aisee! Sasa hizi hatua si ni sawa tu na zile alizokuwa analaumiwa Lema?Gambo anatuhumiwa kuwashawishi wafanyabiashara wa maduka wasilipe Kodi baada ya kuamuru maduka yaliyofungwa kwa sababu ya kutolipa Kodi yafunguliwe Jambo ambalo linaikosesha mapato serikali.
Duh...yap ni yeye.Dr Pima alikuwa mwalimu wa Gambo IAA
Uzuri wa kuchaguliwa na wananchi,unaonhea chochote,ungekua mteule,watu wa kaunda Siri wangeanza pekua faili na taarifa kumfikia papaa mobimba
Mchakato wa kumpata mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwenye uchaguzi wa 2025 umeanza rasmi , Gambo hayumo .Mbunge wa Arusha Mjini ,Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha( DED ),kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake.
Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa uwt uliofanyika kwenye hotel ya Mount Meru jiji hapa nakusisitiza kwamba hata acha kuwatetea wananchi licha ya vikwazo vingi anavyopitia kwenye mikutano yake ya kutatua kero za wananchi.
"Nimesikia kwamba wamepanga kunikamata sitaogopa mtu Mimi ni mbunge ninayetimiza wajibu wangu sitishiwi Nyau na waache kufanya Mambo ya kishabiki"Alisema Gambo
Aliongeza kuwa Kuna mkakati unaoendeshwa na mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt John Pima wa kuwazuia watendaji kushiriki mikutano yake inayoendelea katika mitaa mbalimbali katika Jimbo la Arusha.
"Mkurugenzi amewahi kuwatoa watendaji wa halmashauri katika.kikao changu lakini kwa sababu ni mgeni naamini anaendelea kujifunza atazoea"alisema
Gambo anatuhumiwa kuwashawishi wafanyabiashara wa maduka wasilipe Kodi baada ya kuamuru maduka yaliyofungwa kwa sababu ya kutolipa Kodi yafunguliwe Jambo ambalo linaikosesha mapato serikali.
2025 team Kikwete tupo wapi?? Turudi kwa kishindo..!!Mchakato wa kumpata mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwenye uchaguzi wa 2025 umeanza rasmi , Gambo hayumo .
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete .
😆😆😆2025 team Kikwete tupo wapi?? Turudi kwa kishindo..!!
Uzuri wa kuchaguliwa na wananchi,unaonhea chochote,ungekua mteule,watu wa kaunda Siri wangeanza pekua faili na taarifa kumfikia papaa mobimba
Hilo la uchawi ni sahihi maana na wewe ni kama unaloga siku hizi.Gambo anajiamini sana.
Ni kiongozi asiyeyumbishwa.
Aliwahi kusema vijana walioko UVCCM wakizeeka watakuwa wachawi!
Ndiyo tatizo kwa mtu aliyekuwa mkuu wa mkoa, tena mkoa huo huo halafu anakuwa mbunge mmojawapo katika mkoa huo huo. Anajisahau kuwa yeye sasa ni mouth piece tu ya wananchi wa jimbo lake kwa serikali ya wilaya au mkoa wake au taifa kupitia bunge la nchi. Anashindwa kujua kwamba yeye si mtendaji tena wa serikali. Anashindwa kujua kuwa yeye hana tena mamlaka ya kiserikali. Anashindwa kujua kwamba yeye sasa yuko chini ya mamlaka ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa ambao ni wawakilishi wa rais wa JMT katika maeneo yao. Anashindwa kujua kuwa watu hao yaani DC au RC wana mamlaka ya kisheria ya kumsonda ndani (mahabusu) kwa kipindi cha zaidi ya masaa 48 kwa sababu yo yote ile au hata bila sababu yo yote. Ni wakuu wake na wanainchi wote walio kwenye maeneo hayo. Yeye kuwa ni mbunge kupitia chama tawala hakimfanyi kuwa tofauti na yule mbunge aliyepitia chama cha upinzani hususani yule Lema.Mbunge wa Arusha Mjini ,Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha( DED ),kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake.
Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa uwt uliofanyika kwenye hotel ya Mount Meru jiji hapa nakusisitiza kwamba hata acha kuwatetea wananchi licha ya vikwazo vingi anavyopitia kwenye mikutano yake ya kutatua kero za wananchi.
"Nimesikia kwamba wamepanga kunikamata sitaogopa mtu Mimi ni mbunge ninayetimiza wajibu wangu sitishiwi Nyau na waache kufanya Mambo ya kishabiki"Alisema Gambo
Aliongeza kuwa Kuna mkakati unaoendeshwa na mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt John Pima wa kuwazuia watendaji kushiriki mikutano yake inayoendelea katika mitaa mbalimbali katika Jimbo la Arusha.
"Mkurugenzi amewahi kuwatoa watendaji wa halmashauri katika.kikao changu lakini kwa sababu ni mgeni naamini anaendelea kujifunza atazoea"alisema
Gambo anatuhumiwa kuwashawishi wafanyabiashara wa maduka wasilipe Kodi baada ya kuamuru maduka yaliyofungwa kwa sababu ya kutolipa Kodi yafunguliwe Jambo ambalo linaikosesha mapato serikali.
Wacha tukulane wenyewe kwa wenyewe!!Mbunge wa Arusha Mjini ,Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha( DED ),kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake.
Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa uwt uliofanyika kwenye hotel ya Mount Meru jiji hapa nakusisitiza kwamba hata acha kuwatetea wananchi licha ya vikwazo vingi anavyopitia kwenye mikutano yake ya kutatua kero za wananchi.
"Nimesikia kwamba wamepanga kunikamata sitaogopa mtu Mimi ni mbunge ninayetimiza wajibu wangu sitishiwi Nyau na waache kufanya Mambo ya kishabiki"Alisema Gambo
Aliongeza kuwa Kuna mkakati unaoendeshwa na mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt John Pima wa kuwazuia watendaji kushiriki mikutano yake inayoendelea katika mitaa mbalimbali katika Jimbo la Arusha.
"Mkurugenzi amewahi kuwatoa watendaji wa halmashauri katika.kikao changu lakini kwa sababu ni mgeni naamini anaendelea kujifunza atazoea"alisema
Gambo anatuhumiwa kuwashawishi wafanyabiashara wa maduka wasilipe Kodi baada ya kuamuru maduka yaliyofungwa kwa sababu ya kutolipa Kodi yafunguliwe Jambo ambalo linaikosesha mapato serikali.
Damu za watu wanazomwaga ili kuendelea kutawala zinawarudi sasa.MaCCM huwaga Kama majendawazimu tu .
Hahahaaaa sisi tulikuwa TYL bwashee Tanu Youth League!Hilo la uchawi ni sahihi maana na wewe ni kama unaloga siku hizi.
Malipo ni hapa hapa duniani...Alikuwa akimsumbua Lema,sasa ni zamu yake!