Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu
Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna uvumilivu unaweza usimalize mission wale wadudu ukiwaona tu kwanza vidole vinajaa Jasho ghafla pili mapigo ya moyo yanaenda mbio mpaka unamaliza kuwauwa unakuta baadhi ya vitu vyako vilivyokua mezani vimedondoka chini mpaka unafikili kama ulikua unapambana nao live