Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu

Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna uvumilivu unaweza usimalize mission wale wadudu ukiwaona tu kwanza vidole vinajaa Jasho ghafla pili mapigo ya moyo yanaenda mbio mpaka unamaliza kuwauwa unakuta baadhi ya vitu vyako vilivyokua mezani vimedondoka chini mpaka unafikili kama ulikua unapambana nao live
FB_IMG_1736452482118.jpg
FB_IMG_1736453173757.jpg
Screenshot_20250109_230749_Chrome.jpg
Screenshot_20250109_235719_Chrome.jpg
 
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu

Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna uvumilivu unaweza usimalize mission wale wadudu ukiwaona tu kwanza vidole vinajaa Jasho ghafla pili mapigo ya moyo yanaenda mbio mpaka unamaliza kuwauwa unakuta baadhi ya vitu vyako vilivyokua mezani vimedondoka chini mpaka unafikili kama ulikua unapambana nao liveView attachment 3196996View attachment 3196997View attachment 3196998View attachment 3197000
CAll of duty black ops
 
Back in the day Call of duty modern wa fare II & III , advanced war fare. Ili bamba sana. Sikuizi utu uzima nimewaachia madogo
 
Kwenye euro truck ukinunua gari zaidi ya moja ukaajiri madereva ukawa na garage zaidi ya moja income zinavyoingia kuna kafilling unakapata kanakwamba unamiliki kampuni kubwa ya usafirishaji
Unajiona boss kabisa
 
Utoto Raha ila nashukuru I play all 4 generations of ps ps 5 siwezi cheza is just childish stuff ku concentrate na video games labda in the future nifanye kama biashara
 
You is ..
Aahhhh we jamaa unajisifia sana
 
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu

Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna uvumilivu unaweza usimalize mission wale wadudu ukiwaona tu kwanza vidole vinajaa Jasho ghafla pili mapigo ya moyo yanaenda mbio mpaka unamaliza kuwauwa unakuta baadhi ya vitu vyako vilivyokua mezani vimedondoka chini mpaka unafikili kama ulikua unapambana nao liveView attachment 3196996View attachment 3196997View attachment 3196998View attachment 3197000
Simba na KenGold
 
Yakuza ile familia ya mwamba imepitia mikasa mingi sana ya kusikitisha.

Wachina wanajua sana stories
 
Back
Top Bottom