T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
VR nimeanza zitumia 2019 pale Mkuki kabla biashara haijawahi ngumu mall ileHizo Games Virtual Reality VR zip wapi dar kwa alie wahi kuona ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VR nimeanza zitumia 2019 pale Mkuki kabla biashara haijawahi ngumu mall ileHizo Games Virtual Reality VR zip wapi dar kwa alie wahi kuona ?
Basi hii safi unaweka age restriction 18yrs na unahakikisha unazingatia hilo ili kuepuka lawama kutoka kwa wazazi na serikali.Wacheza PS wengi ni watu wazima sikuhizi
Na games station ukilenga watu wazima ndio utatengeneza pesa,Lengo ni Kutengeneza sehemuWacheza PS wengi ni watu wazima sikuhizi
Yani mlangoni ni 18+ na mteja anaetiliwa mashaka ananyimwa kuingia,kukiwa na misimamo nadhani hii ni biashara nzuri tu na salama kabisa,shida ni wengi wanaoiga kuifanya hii biashara,huifanya kwa udogo na matokeo yake inakua biashara ya kuvutia watoto.Basi hii safi unaweka age restriction 18yrs na unahakikisha unazingatia hilo ili kuepuka lawama kutoka kwa wazazi na serikali.
Mtaani wateja wengi ni watoto; they have time to burn; haya mambo yanaweza yakachukua muda mrefu sana...., ndio maana nikasema kuna watu wana tournaments kabisa yaani anashindana na wengine online au weekend wadau wana-host gaming party watu wanakwenda na ma-pc yao na kuanza kushindanaJe ni watoto tu wanacheza hizi games?
VIpi kama ukiweka age restriction 18ys or 15yrs wateja watapatikana?
Kuna jamaa wanajiita gaming house tz wako pale msasani namanga,wana hizo vr na steerring wheel pedal og za logistick,ukifika pale utaenjoy sana mkuuHizo Games Virtual Reality VR zip wapi dar kwa alie wahi kuona ?
Ni nzuri sana nimevutiwa nayo, uifanye kihalaliYani mlangoni ni 18+ na mteja anaetiliwa mashaka ananyimwa kuingia,kukiwa na misimamo nadhani hii ni biashara nzuri tu na salama kabisa,shida ni wengi wanaoiga kuifanya hii biashara,huifanya kwa udogo na matokeo yake inakua biashara ya kuvutia watoto.
Ukilenga watoto ni lazima utaleta matatizo na jamiii. Watu wazima wengi tena wastaarabu wanapenda games. Ukiwa na mtaji wa maana ukawalenga hao naamini utawapata.Mtaani wateja wengi ni watoto; they have time to burn; haya mambo yanaweza yakachukua muda mrefu sana...., ndio maana nikasema kuna watu wana tournaments kabisa yaani anashindana na wengine online au weekend wadau wana-host gaming party watu wanakwenda na ma-pc yao na kuanza kushindana
Mfano hio site unajisajiri ukishinda kuna zawadi..., now that is next level ya biashara kama hii ; Kila mtu kwake ila anashindana na dunia nzima
GameBattles: The World Leader in Online Video Game Competition
GameBattles is the largest cross-platform online esports service for cash prize tournaments & ladders. With over $10,000,000 in prizes awarded & 100,000,000 matches played, this is your path to pro. Start your journey.gamebattles.majorleaguegaming.com
Kwa watu wazima weka vitu kama hivi either kwenye sports centers, sehemu zenye pool, bowling alleys n.k. yaani kuna vitu mchanganyiko au sehemu ambapo wazazi watakwenda na watoto wao kucheza ku-enjoy; family gathering kwa watu wazima ambao ni gamers per se you are better off kuanzisha gaming tournaments tena ili upunguze overheads kila mtu aje na console / pc yake; ila kwa watu wa kawaida ambao game ni by the way na hautaki kulenga watoto mix it weka na vitu vingine (tena unaweza kushangaa Juice na refreshments zinakuletea faida zaidi kuliko hata PC/Console per Unit Time....Ukilenga watoto ni lazima utaleta matatizo na jamiii. Watu wazima wengi tena wastaarabu wanapenda games. Ukiwa na mtaji wa maana ukawalenga hao naamini utawapata.
Nice idea. Thanks😍😍Kwa watu wazima weka vitu kama hivi either kwenye sports centers, sehemu zenye pool, bowling alleys n.k. yaani kuna vitu mchanganyiko au sehemu ambapo wazazi watakwenda na watoto wao kucheza ku-enjoy; family gathering kwa watu wazima ambao ni gamers per se you are better off kuanzisha gaming tournaments tena ili upunguze overheads kila mtu aje na console / pc yake; ila kwa watu wa kawaida ambao game ni by the way na hautaki kulenga watoto mix it weka na vitu vingine (tena unaweza kushangaa Juice na refreshments zinakuletea faida zaidi kuliko hata PC/Console per Unit Time....
Classmate wangu baada ya kufungua hii biashara alipiga sana hela mpka akaingia bifu na wazazi baadae alipewa kesi ya ubakaji wa watoto now yupo keko gerezaniNdugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.
Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani)
Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu hata mmoja alie karibu yangu anaecheza hata Game la nyoka kwenye Simu, yani wanaonizunguka wote biashara zao ni zile acha kazi ufanye kazi.
Nakuja Kwenu wajuzi,wafanyabiashara,na yeyote anaeweza nipa HINTS kuhusu hii biashara.
Gharama za GAMES husika,
Changamoto za games(mashine)
Mtaji Unaoweza Tosheleza.
Jinsi ya Kuanza
Kuchezesha ni Bei Gani
Matumizi Makubwa ya Ofisi,nk
Taarifa zote ambazo watu mtakua mnazijua kuhusu hii biashara,nitaomba nipatiwe.
Game Station hiii nataka iwe na games zote za PS kuanzia Ps ya Kwanza hadi Ps ya sasa PS 5.
NA Pia itakua na Games kama inayooonekana kwenye hizi Clip hapa Chini.
Package ya ALL GAMES IN ONE ROOF.
View attachment 2673993View attachment 2673994View attachment 2673992
Mwisho Kabisa Naomba KIJANA anaejua ameshawahi kucheza Game Zote hizi na anaweza SIMAMIA ofisi kama hiii Aje PM tujue namna ya kufanya.
Nahitaji Mtu wa Kusimamia OFISI hii pindi nitakapofanikiwa Ifungua kutokana na Haya mtakayonishauri kupitia biashara Hiii.
Sikutaja size ya chumba mkuu kwasababu Frem siendi kuchukua "ready Build" Ni eneo la open spaceNilikuuliza size ya Chumba ili ujue unaweka ngapi
na hizo video nilizoweka nimezi record pale Gaming House Msasani.... ile sehemuu wanaingiza pesa nimekua nikienda pale mara kwa mara ila kuna vitu wana miss,na ndio mana nataka fungua hii kitu kufukia vitu ambavyo sivioni pale na kuboresha ambavyo nimeviona.Kuna jamaa wanajiita gaming house tz wako pale msasani namanga,wana hizo vr na steerring wheel pedal og za logistick,ukifika pale utaenjoy sana mkuu
nadhani kuna namna alikosea,hakuna biashara yyote utakayofanikiwa kama ukilenga wateja wako watakua watoto/wanafunzi.Classmate wangu baada ya kufungua hii biashara alipiga sana hela mpka akaingia bifu na wazazi baadae alipewa kesi ya ubakaji wa watoto now yupo keko gerezani
Pale jamaa kaweka pesa ndefu sana,inabidi kujipanga sana na hasa upande wa location na usimamizi,wabongo mara nyingi tunaangushwa sana na upande wa usimamizina hizo video nilizoweka nimezi record pale Gaming House Msasani.... ile sehemuu wanaingiza pesa nimekua nikienda pale mara kwa mara ila kuna vitu wana miss,na ndio mana nataka fungua hii kitu kufukia vitu ambavyo sivioni pale na kuboresha ambavyo nimeviona.
Nzuri