Gamondi aambiwe ukweli plan za klabu bingwa sio kama unaenda kucheza na Dodoma jiji

Yanga haina mpira wa kwenda popote Kimataifa. Strikers Musonda na Mzize halafu uende kucheza Champions League. Ngoja akili ziwakae sawa. Wao kumfunga Simba yale magoli ya Kununua wakadhani wameahinda Makundi ya CAF sasa wameanza kukojozwa
 
Al Ahly hatoki hapa Dar. Iwe mvua iwe jua. Yanga ni timu nzuri tofauti na timu yangu ya Simba.
 
Yanga haina mpira wa kwenda popote Kimataifa. Strikers Musonda na Mzize halafu uende kucheza Champions League. Ngoja akili ziwakae sawa. Wao kumfunga Simba yale magoli ya Kununua wakadhani wameahinda Makundi ya CAF sasa wameanza kukojozwa
Mimi ni simba ila haya ni maneno ya mkosaji. Tuwe wakqeli, wenzetu jana mpira umetembea. Na hilo ndilo linalotakiwa sio kucheza kama TP mazembe dhidi ya Akina Mayele
Mazembe alijilinda na kuwaogopa wale lakini wakishia kufungwa tu. Wacha boli itembee mzee.
 
Hizo plan za kiufundi au plan za ushabiki oya oya. Kwakuwa ushauri wako umelenga kuwafanya Utopolo waendelee kuchezea za uso sawa Acha Boli butua litembeee.
 
Hizo plan za kiufundi au plan za ushabiki oya oya. Kwakuwa ushauri wako umelenga kuwafanya Utopolo waendelee kuchezea za uso sawa Acha Boli butua litembeee.
Boli jana imetembea lakini bro tofauti na leo chama letu litakuja na boli papatu papatu. Boli 5G.
 
Utapoteza, nabi hakuwahi kucheza mechi za namna hiyo maana alitolewa hatua za awali na Al hilal
 
Group stage ushindi ndio unaotafutwa ,, idadi ya magoli ni hatua za mtoano.

Yanga haijawahi kutafuta Sare ugenini
Haijawahi kutafuta sare ugenini kwenye mashindano ambayo hajaingia kwa miaka 25. Msijiamini sana, mambo si mepesi. Unaposikia Simba inatafuta ushindi nyumbani sio kwamba haitaki kushinda ugenini ni kwamba inajua hatari ya kufunguka ugenini sababu inaheshimu wapinzani.
 
.Gamond atafute clips aangalie vile Nabi alikuwa anacheza hizi game.
Clip za mashindano ya Shirikisho ndo atumie hizo mbinu? Mnasahau kuwa Yanga ni wageni na ndo wanatengeneza uzoefu mpya. Timu ya Yanga ipo vizuri, jana wamecheza vizuri sana ila mashindano haya ni wageni mno.
 
Ungemalizia na NENO

Wasalaam,
😊😊☺️☺️
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Eti ohh yanga Kila mchezaji anafunga hatuhitaji namba tisa waliopo wanamaliza
Eti yule mzambia na mzizeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado hamjazema mpaka mzeeemeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…