Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Clabu ya 3 Afrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasaidia nini kutuambia kuwa wewe ni Simba.Mimi ni simba ila haya ni maneno ya mkosaji. Tuwe wakqeli, wenzetu jana mpira umetembea. Na hilo ndilo linalotakiwa sio kucheza kama TP mazembe dhidi ya Akina Mayele
Mazembe alijilinda na kuwaogopa wale lakini wakishia kufungwa tu. Wacha boli itembee mzee.
Washabiki ni shidaaa......basi sawa atafanya tunavyotakaJana kazengua, approach yake ilikuwa mbovu kabisa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu mimi ni Simba.Inasaidia nini kutuambia kuwa wewe ni Simba.
Sasa nimemuamini Robertinho tena sn no show game just resultsGAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
Na imegongwa vi 3Clabu ya 3 Afrika
Hakuna saikolojia mkuu, kila kocha anataka kumiliki mpira lakini ndio uwezo unatofautiana, timu zote zinajua zikiweka mpira chini sio rahisi kupishana na yangaKupoteza nafasi ni sehemu ya mchezo huwezi kitumia kila nafasi unayo ipata maana hata waarabu walipata nafasi nyingi ambazo na wao wangezitumia vizuri magoli yangekuwa mengi zaidi.
Waarabu walicho kifanya walicheza na saikolojia ya wachezaji wa yanga kwa kuwaachia mpira wacheze ili waaminishe kuwa wao ni dhahifu.
Tutacheza mchezo wetu ule ule na tutatoboa.Timu iliyo poteana ufunge mabao 3 alafu ww uliye wapoteza utoke kapa.
Acha ubishi mkuu yanga ikiendelea kucheza mchezo wa aina hii wataendelea kuambulia vipigo.
Haya mashindano yanahitaji akili na timeng na sio mbwembwe.
Gamondi hii siyo mara yake ya kwanza kucheza CAF CLGAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
GAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.

Haya nyie wazoefu wa michuano hii ya CAF na wataalamu wa kujilinda zaidi, mmeshindwa nini leo kulinda hako ka gori kenu ka penalty ili kumaliza mchezo na 3 points ?GAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
GAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
Una leseni daraja gani tukupe timu?GAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
Nabi kacheza club bingwa na yanga na far Rabat katolewa mechi ya kwanza ,unaongea usichokijua kabisa.Mkuu hiki ndicho nilichokiona, Yanga walikosa heshma kwenye hii game. Hawa waarabu ni wazuri ila wanafungika. Jana Yanga alifunguka sana, tungekuwa na nidhamu ya kulinda tungeweza pata hata draw. Timu inashambulia inasahau kujilinda, Yanga kafungwa magoli ya counter karibia yote. Lomalisa anapanda afu anachelewa kurudi, goli mbili zilipita humo.
Kwenye mechi kubwa Yanga wapunguze mbwembwe na wacheze mchezo wa kasi na pasi ndefu.
Kwa timu zinazolingana kiuwezo ni ngumu sana kuwafunga kwa njia hii ya kujenga mashambulizi ya taratibu kuanzia nyuma. Gamond atafute clips aangalie vile Nabi alikuwa anacheza hizi game.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wabongo mna maneno, ndo kwanza kunapambazuka. Tujipe muda matokeo ya mpira niyakushangaza mnooYanga haina mpira wa kwenda popote Kimataifa. Strikers Musonda na Mzize halafu uende kucheza Champions League. Ngoja akili ziwakae sawa. Wao kumfunga Simba yale magoli ya Kununua wakadhani wameahinda Makundi ya CAF sasa wameanza kukojozwa
So Simba imeuza mechi kwa Yanga, Namungo, ASEC Memosas?Yanga haina mpira wa kwenda popote Kimataifa. Strikers Musonda na Mzize halafu uende kucheza Champions League. Ngoja akili ziwakae sawa. Wao kumfunga Simba yale magoli ya Kununua wakadhani wameahinda Makundi ya CAF sasa wameanza kukojozwa
Tumeona results kweri kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nimemuamini Robertinho tena sn no show game just results