cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mnadhani CL kuna kina Arajiga eeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira uliangalia haukuona hiyo kes au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnadhani CL kuna kina Arajiga eeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira uliangalia haukuona hiyo kes au?
Nyinyi si ndio mlisema hata ikija Barcelona FC itachezea koki Kiko wapi Sasa na msipo angalia mtaburuza mkia kwenye Hilo kundi🤓🤓🤓🤓Nyie shukuruni tu. Mana Hilo ndilo linalowafariji kwa sasa
GAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
Kwahiyo hizo 5-1 zimefuta zile 5 bila mlizopigwa na simba ?Kwahiyo ushindi wa Waalgeria umezifuta zile 5 za msimbazi?
Kupoteza nafasi ni sehemu ya mchezo huwezi kitumia kila nafasi unayo ipata maana hata waarabu walipata nafasi nyingi ambazo na wao wangezitumia vizuri magoli yangekuwa mengi zaidi.Mm naangalia nafas ambazo hazikutumika vizuri.
Na penati tukanyimwa
Hapo umemkosea heshima huyo kocha.GAMONDI AAMBIWE UKWELI PLAN ZA KLABU BINGWA SIO KAMA UNAENDA KUCHEZA NA DODOMA JIJI.
Yanga ilikosa Heshima Kwa Mpinzani wake CR BELOUZDAD Jinsi ambavyo iliamua kuuendea Mchezo Huu Hali iliyopelekea Kuruhusu Magoli Matatu Kwa Mtungi Ugenini
Hakukuwa na Haja ya Kufunguka Katika Mchezo wa Ugenini Plan Kubwa Ambayo ingetumika Ingekuwa ni Counter Attack na Kuzuia
GAMONDI Aambiwe Ukweli kuwa hii ni Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na Sio Kombe la Shirikisho Wala NBC PREMIER LEAGUE
Ukweli Usemwe Huwezi Kucheza na Cr Belouzdad kama unaenda Kucheza na Dodoma jiji Yanga ilifeli kwenye Game Plan ya Ugenini
Mchezo unaofata Dhidi ya Al Ahly ni Mgumu Zaidi ya Huu waliocheza na CR BELOUZDAD Isipojipanga kisawasawa tutarajie ikienda Kupoteza Mchezo mwingine wa pili
Tunabadil plan tunakuja na kisauni plan, ile iliyotufanya tukapata bao 5 kwa mtoto cheupe pale kwa mkapa hatoki ntu. Za motoooooNyinyi si ndio mlisema hata ikija Barcelona FC itachezea koki Kiko wapi Sasa na msipo angalia mtaburuza mkia kwenye Hilo kundi🤓🤓🤓🤓
Au sio?. Saikolojia wakati walipigiwa mbungi laivu. Wale walipoteana mkuu. Nasema kuhus nafas mana tulitengeneza nafas nyingi zaidi Yao. Mm sioni haja ya kutoa kila neno hapa mana wewe umejiandaa kulenga matokeo zaidi. Ndo mana kila hoja lazima ilenge matokeo ya jumla.Kupoteza nafasi ni sehemu ya mchezo huwezi kitumia kila nafasi unayo ipata maana hata waarabu walipata nafasi nyingi ambazo na wao wangezitumia vizuri magoli yangekuwa mengi zaidi.
Waarabu walicho kifanya walicheza na saikolojia ya wachezaji wa yanga kwa kuwaachia mpira wacheze ili waaminishe kuwa wao ni dhahifu.
Ata national al haly wenyewe ugenini awawezi cheza vile yani unafunguka mpaka ma gap yanaonekana..kingine yanga aina forward wa kuweza kuisaidia timu kimataifaHapo umemkosea heshima huyo kocha.
Fuatilia cv yake. Kwshaifundisha hata CRB kama sikosei.
Kimataifa ana uzoefu kuliko timu ya Yanga kama unaelewa nachosema.
Penati hazitolewi kirahisi namna ile weewe. Halafu uliona ule mpira alipiga mchezaji wa Yanga ukawa unaelekea kwa mchezaji wa CRB ukamgonga refa, halafu refa akawapa Yanga?Mm naangalia nafas ambazo hazikutumika vizuri.
Na penati tukanyimwa
Tusubiri Leo saa 10.Hizo plan za kiufundi au plan za ushabiki oya oya. Kwakuwa ushauri wako umelenga kuwafanya Utopolo waendelee kuchezea za uso sawa Acha Boli butua litembeee.
Mkuu haya mashindano yanahitaji akili kuliko mbwembwe, unakumbuka kilicho mkuta Simba alipo jitia kucheza haya mashindano kwa pila biliani?Walicheza vizuri sana boss.
Yaani jana Yanga ni sawa na mwanafunzi aliyeandika mwandiko mzuriiii, kapangili point vizuriiii ila kaandika uongo mtupu.
Ile tafsiri yake ni kwamba kaharibu direction ya pasi ya mchezaj wa yangaz whether ingempata yanga mweznie au ingetoka. Una hakika gan kama hiyo mchezaji Ea CRB angeicontrol vizurPenati hazitolewi kirahisi namna ile weewe. Halafu uliona ule mpira alipiga mchezaji wa Yanga ukawa unaelekea kwa mchezaji wa CRB ukamgonga refa, halafu refa akawapa Yanga?
Kweli mkuuMkuu haya mashindano yanahitaji akili kuliko mbwembwe, unakumbuka kilicho mkuta Simba alipo jitia kucheza haya mashindano kwa pila biliani?
Aiseee. Yaani umeenda mbali hadi kuhoji kama angecontrol vizuri 🤣😂🤣Ile tafsiri yake ni kwamba kaharibu direction ya pasi ya mchezaj wa yangaz whether ingempata yanga mweznie au ingetoka. Una hakika gan kama hiyo mchezaji Ea CRB angeicontrol vizur
Timu iliyo poteana ufunge mabao 3 alafu ww uliye wapoteza utoke kapa.Au sio?. Saikolojia wakati walipigiwa mbungi laivu. Wale walipoteana mkuu. Nasema kuhus nafas mana tulitengeneza nafas nyingi zaidi Yao. Mm sioni haja ya kutoa kila neno hapa mana wewe umejiandaa kulenga matokeo zaidi. Ndo mana kila hoja lazima ilenge matokeo ya jumla.
Oke, na ukijichanbganya Tena tunakupiga Tena zilezile, palepale kwa nkapa
Dua lako liwe lingi saaaasa. Maba yanga ikishinda uarabuni wanaumia watanzania TandaleTimu iliyo poteana ufunge mabao 3 alafu ww uliye wapoteza utoke kapa.
Acha ubishi mkuu yanga ikiendelea kucheza mchezo wa aina hii wataendelea kuambulia vipigo.
Haya mashindano yanahitaji akili na timeng na sio mbwembwe.
Mkuu hiki ndicho nilichokiona, Yanga walikosa heshma kwenye hii game. Hawa waarabu ni wazuri ila wanafungika. Jana Yanga alifunguka sana, tungekuwa na nidhamu ya kulinda tungeweza pata hata draw. Timu inashambulia inasahau kujilinda, Yanga kafungwa magoli ya counter karibia yote. Lomalisa anapanda afu anachelewa kurudi, goli mbili zilipita humo.
Kwenye mechi kubwa Yanga wapunguze mbwembwe na wacheze mchezo wa kasi na pasi ndefu.
Kwa timu zinazolingana kiuwezo ni ngumu sana kuwafunga kwa njia hii ya kujenga mashambulizi ya taratibu kuanzia nyuma. Gamond atafute clips aangalie vile Nabi alikuwa anacheza hizi game.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app