sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB.
Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha kidonda mechi na Al Ahly.
Tukimkosa Pacome na Aucho hatuwezi ipa upinzani Mamelod.