Aucho anarudi kabla ya mechi hiyo kwa mujibu wa daktari, pili Pacome alikuwa fiti ila kuumia ni sehemu ya mchezo.
Mistake ya leo ni kwenye sabu,Gamondi kachemka,kwani yanga mechi aliitawala zaidi ya asilimia sitini, kawajaza mastraiker watatu kwenye eneo moja ndio maana ikawa rahisi sana kwa mabeki wa Azam.Sub za leo angetakiwa aingie Okrah kipindi cha pili na Farid ,atleast wangewatanua mabeki wa Azam na kupunguza kasi ya mawinga wao wa pembeni na mianya ya kupata magoli ingepatikana.
Azam leo aliingia akihiheshimu Yanga,ndio maaana hakutaka viungo wake washindane na Yanga sababu anajua viungo wa Yanga ni bora. Yeye alitulia na kuamua kutumia nafasi zake chache, japo game plan ya leo ilikuwa kupoozesha mpira ili kuwatoa Yanga kwenye mchezo na alifanikiwa.
Gamondi leo kachemka kwenye sub.