joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yale yale ya unazi,sasa unabishana na Dr mwenye kazi yake. Halafu kwani Yanga kufungwa ndio mechi ya kwanza hii ,si alifungwa na Ihefu ukaongoza ligi kwa mda then leo kipo wapi.Mbona unajiwenga kijana?
Achana na matokeo ya leo ndivyo ilivyo kwenye mpira.
Mi sijauliza kwa kebehi nimeuliza technically.
Mchezaji anayetoka kwenye majeraha huwa nakuwa na personal training yake ya kumuangalia utimamu wake wa kimwili.
Sasa huo muda wa jambo hilo kufanyika ukiangalia na ratiba ya mechi unaona kabisa kuna vitu vitatakiwa kufosiwa ili Aucho aweze kucheza.
Labda kama hakuwa na jeraha baya kulingana na eneo la mwili alilopata hilo jeraha.
Lakini match fitness nayo pia ni muhimu. Mnaweza kukizungumza hili vizuri siku ambayo mmepoteza mechi
Haya Aucho huyu hapo,yupo Gym wiki hii kaanza mazoezi madogo madogo ya goti.
Taarifa ya ripoti ya Dr hiyo hapo.
Daktari Yanga awapa Wananchi matumaini majeraha ya Aucho
Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho Jumatatu anaanza mazoezi mepesi tayari kwaajili ya kujiweka fiti kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Machi 30.
Jifikirie ww na timu yako wachezaji wako Stars Kibu na Shabalala wana siku moja tu ya kupumzika,kuanzia tar 25,26,27 watakuwa wanaunganisha mapipa na standards ya mpira wa miguu duniani, mchezaji anatakiwa kupumzika masaa 48.