Aucho anarudi kabla ya mechi hiyo kwa mujibu wa daktari, pili Pacome alikuwa fiti ila kuumia ni sehemu ya mchezo.Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB.
Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha kidonda mechi na Al Ahly.
Tukimkosa Pacome na Aucho hatuwezi ipa upinzani Mamelod.
We daktari wa timu?Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB.
Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha kidonda mechi na Al Ahly.
Tukimkosa Pacome na Aucho hatuwezi ipa upinzani Mamelod.
Nadhani alichokifanya kimetokana na kuhamaki, hakutegemea kabisa jambo lile la Pacome kuumia. Hivyo hakuumiza kichwa katika kupanga plan sahihi bali alifanya ni kutimiza idadi ya wachezaji 11 uwanjani.Aucho anarudi kabla ya mechi hiyo kwa mujibu wa daktari, pili Pacome alikuwa fiti ila kuumia ni sehemu ya mchezo.
Mistake ya leo ni kwenye sabu,Gamondi kachemka,kwani yanga mechi aliitawala zaidi ya asilimia sitini, kawajaza mastraiker watatu kwenye eneo moja ndio maana ikawa rahisi sana kwa mabeki wa Azam.Sub za leo angetakiwa aingie Okrah kipindi cha pili na Farid ,atleast wangewatanua mabeki wa Azam na kupunguza kasi ya mawinga wao wa pembeni na mianya ya kupata magoli ingepatikana.
Azam leo aliingia akihiheshimu Yanga,ndio maaana hakutaka viungo wake washindane na Yanga sababu anajua viungo wa Yanga ni bora. Yeye alitulia na kuamua kutumia nafasi zake chache, japo game plan ya leo ilikuwa kupoozesha mpira ili kuwatoa Yanga kwenye mchezo na alifanikiwa.
Gamondi leo kachemka kwenye sub.
Wamepanuka wapi?Yanga inakikosi kipana wewe.
Kikosi kipana kinategemea unacheza dhidi ya timu ya daraja ipiTuna kikosi kipana
Relax ...
Fei kawapanua mbaya mbovu.Wamepanuka wapi?
Pacome na yao ndio muhimu ,shomari kibwana ni mlonzi na mganga wa jadi kaacha mambo ya boli kitambo.Pacome & Yao Wameumia Tuombe Wasiwe Wamepata Majeraha Makubwa Maana Aucho Pia Kufanyiwa Upasuaji Week Iliyopita.
Kibwana Shomari Aliumia Mechi Ya Geita.
Daah Hizi Injury Zimetuandama.
Hamna alikuwa na muda mwingi wa kufanya sub, sema yy mwenyewe alichemka,leo Azam hawa kucheza mpira mzuri, ila walicheza objective football, wamepaki basi lao na kiwavizia Yanga wakapata chance zao mbili wakamaliza mchezo na kuendelea kupoozesha mpira.Hawa kutaka kabisa kushindana na Yanga kumiliki mpira.Nadhani alichokifanya kimetokana na kuhamaki, hakutegemea kabisa jambo lile la Pacome kuumia. Hivyo hakuumiza kichwa katika kupanga plan sahihi bali alifanya ni kutimiza idadi ya wachezaji 11 uwanjani.
Atarudi kabla ya mechi lakini atakuwa na fitness ya kumfanya amudu mechi ngumu kama hiyo?Aucho anarudi kabla ya mechi hiyo kwa mujibu wa daktari, pili Pacome alikuwa fiti ila kuumia ni sehemu ya mchezo.
Kwa mujibu wa Dr ataimudu,sasa kama unaleta unazi wako sawa.Atarudi kabla ya mechi lakini atakuwa na fitness ya kumfanya amudu mechi ngumu kama hiyo?
Mbona unajiwenga kijana?Kwa mujibu wa Dr ataimudu,sasa kama unaleta unazi wako sawa.