Gamondi anafanya sana makosa kumtumia Pacome ilihali ni majeruhi

Yale yale ya unazi,sasa unabishana na Dr mwenye kazi yake. Halafu kwani Yanga kufungwa ndio mechi ya kwanza hii ,si alifungwa na Ihefu ukaongoza ligi kwa mda then leo kipo wapi.

Haya Aucho huyu hapo,yupo Gym wiki hii kaanza mazoezi madogo madogo ya goti.

Taarifa ya ripoti ya Dr hiyo hapo.
Au unataka hasicheze..... au unaogopa akicheza Yanga atashinda?

Jifikirie ww na timu yako wachezaji wako Stars Kibu na Shabalala wana siku moja tu ya kupumzika,kuanzia tar 25,26,27 watakuwa wanaunganisha mapipa na standards ya mpira wa miguu duniani, mchezaji anatakiwa kupumzika masaa 48.
 
Mpaka unaandika "Hasicheze" kweli inaonekana bado upo kwenye masikitiko makubwa mno.
 
Mpaka unaandika "Hasicheze" kweli inaonekana bado upo kwenye masikitiko makubwa mno.
Unatamani hasicheze ila ripoti ya Dr ni tofauti.Ila ina zihirisha hata wewe unamuogopa, uzuri atacheza siku hiyo so husikose burudani tar 30.
 
Aya ni majeraha ya uchovu, wamecheza mfulilizo ila kwakua ni majeraha ya uchovu tiba yake ni mapumziko tu.
Mechi ya mamelodi wote watakuwepo.
Nye si msemaji wenu alisema Yanga ni timu kubwa hakuna haja ya viporo,sasa mnachokaje
 
Pacome & Yao Wameumia Tuombe Wasiwe Wamepata Majeraha Makubwa Maana Aucho Pia Kufanyiwa Upasuaji Week Iliyopita.

Kibwana Shomari Aliumia Mechi Ya Geita.

Daah Hizi Injury Zimetuandama.
Leo mnalia injury..si tuliambiwa kua yanga ni kama maroboti hayaumii na yana pumzi za kucheza dakika 900
 
Aya ni majeraha ya uchovu, wamecheza mfulilizo ila kwakua ni majeraha ya uchovu tiba yake ni mapumziko tu.
Mechi ya mamelodi wote watakuwepo.
Aisee nikajua ushakunywa sumu...

Fei toto sukari ice cream.
 
Mmeshaanza kuwayawaya
 
kama kwa aucho ni upasuaji basi daktar anawafariji tu mashabiki, upasuaji unachukua si chini ya wiki 3 mchezaji kupona kabisa nakuanza mazoezi
 
kama kwa aucho ni upasuaji basi daktar anawafariji tu mashabiki, upasuaji unachukua si chini ya wiki 3 mchezaji kupona kabisa nakuanza mazoezi
Wewe unajua Aucho upasuaji kafanyiwa lini?

Ila kama hujui Aucho kafanyiwa upasuaji baada ya kurudi Misri haya hesabu ww ana wiki ngapi tokea afanyiwe upasuaji? Kwa mahesabu yangu kama sikosei Aucho ana siki kumi na mbili au kumi na tatu tokea afanyiwe upasuaji na bado ana wiki mbili nyingine za recovery kabla ya mechi ya tar 30.

Ila JF na wakubali, kwa hiyo ww unajua kulikon Dr. Najua moyoni unatamani hasicheze, ila Dr mwenye fani yake kisha amethibitisha.
 
mngekuwa mnacheza na jkt tanzania kweli nisingenda acheze lakini kama ni mamelodi masandawana hata mkicheza na aucho watatu lazima mfungwe tu tena kipigo cha uzalilishaji
 
mngekuwa mnacheza na jkt tanzania kweli nisingenda acheze lakini kama ni mamelodi masandawana hata mkicheza na aucho watatu lazima mfungwe tu tena kipigo cha uzalilishaji
Uzuri sio Mungu na JF inatunza risiti tutarudi hapa kukumbushana.
 
Pacome & Yao Wameumia Tuombe Wasiwe Wamepata Majeraha Makubwa Maana Aucho Pia Kufanyiwa Upasuaji Week Iliyopita.

Kibwana Shomari Aliumia Mechi Ya Geita.

Daah Hizi Injury Zimetuandama.
Hamna kikosi kipana..oya mamelody watajipigia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…