Gamondi anafanya sana makosa kumtumia Pacome ilihali ni majeruhi

Hata kama akicheza hawezi kuwa fit..plus confidence zero, mchezaji akitoka majeruhi huogopa sana migongano
Unatamani hasicheze ila ripoti ya Dr ni tofauti.Ila ina zihirisha hata wewe unamuogopa, uzuri atacheza siku hiyo so husikose burudani tar 30.
 
Hivi ninyi ni watu gani?msiokubali kufungwa ht mara moja?!
Mnaamini zaidi uchawi kuliko Mungu anaeamini Mungu lazima ajue kusjinda na kushindwa
Acheni hizoo mambo mnamkosea Mungu mnooo
 
Wewe yaga hawezi kumfunga mamelodi never..timu imekamilika ile sio wewe bado una kina mwamnyeto
Unapenda matokeo yawe hivyo uzuri hayatakuwa hivyo.Ila ww Mwakarobo Al Ahly unamfunga?

Maana nyie kuishia robo ndio maisha yenu ya kila siku so msiforce tufanane.
 
Unapenda matokeo yawe hivyo uzuri hayatakuwa hivyo.Ila ww Mwakarobo Al Ahly unamfunga?

Maana nyie kuishia robo ndio maisha yenu ya kila siku so msiforce tufanane.
Kumfunga alahly kwanguvmimi sio stori nilishamfunga na nitaendelea kumfunga..na hiyo ndio derby ya africa kwa sasa
 
Kumfunga alahly kwanguvmimi sio stori nilishamfunga na nitaendelea kumfunga..na hiyo ndio derby ya africa kwa sasa
Kwani nani ambaye hajawahi kumfunga Al Ahly Mwakarobo?. Halafu issue sio kumfunga Al Ahly ,issue ni kumtoa, ila tunakujua wewe mzee wa robo.

Ndio mwisho wako huo,usizani atakukosa taifa, juzi juzi kwenye super league kipindi cha kwanza clear chance nne Al Ahly kakukosa,husizani atarudia yale makosa.

Mkaenda Misri ball position tisini kwa kumi yenu,timu kubwa za aina ya Al Ahly huwaga hazifanyagi makosa mara mbili.
 
Msimamo unaweza kugeuka muda wowote

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ndio ugeuze sasa,ila kwa sasa ndio upo vile.

Wenzako wanazungumzia walicho nacho mkononi wewe unapigia mahesabu ambacho hujakipata.

Si ulikuwa na Kiporo,juzi Jamhuri wakakukanda,bado hujaenda Mbeya kurudiana nao.
 
Yaan mtasema yoteee, bado mamelod mtataja had majini yenu mnayotumiaga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gamondi ana Plan A tu.. Kujaza viungo katikati na kutegemeA ku penetrate katikati.. hana plan B ya Mawinga
Ndio maana Walimtoa Moloko bila sababu ya Msingi
Halafu Gede yupo slow na hatafuti mipira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara hii Guede ni tatizo? Jamani uto muwajie taratibu wachezaji ebooo.
 
Unatamani hasicheze ila ripoti ya Dr ni tofauti.Ila ina zihirisha hata wewe unamuogopa, uzuri atacheza siku hiyo so husikose burudani tar 30.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi huruma maskiniii.
 
Lake mtu halimtapishi na huo ni mtizamo wako, hata wewe ulicho andika ni ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wee unaandika mipasho hiviii? Wallah umevurugwaaa khaaaaah
 
Hivi ninyi ni watu gani?msiokubali kufungwa ht mara moja?!
Mnaamini zaidi uchawi kuliko Mungu anaeamini Mungu lazima ajue kusjinda na kushindwa
Acheni hizoo mambo mnamkosea Mungu mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…