[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mie sitakii, lolUnapenda matokeo yawe hivyo uzuri hayatakuwa hivyo.Ila ww Mwakarobo Al Ahly unamfunga?
Maana nyie kuishia robo ndio maisha yenu ya kila siku so msiforce tufanane.
Mashabiki wa uto wamevurugwa vibayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shabiki wengi WA timu hiyo hawajasoma. Wanashindwa vijiweni wakidanganyana kuwa Yanga INA uwezo WA kumfunga hata Real Madrid[emoji851][emoji851]
Ni mtizamo, si wengine misemo ndio imetukuza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wee unaandika mipasho hiviii? Wallah umevurugwaaa khaaaaah
Muwe mnatusikiliza wakubwa tukiongea, sio wote mashabiki maandazi.Aucho anarudi kabla ya mechi hiyo kwa mujibu wa daktari, pili Pacome alikuwa fiti ila kuumia ni sehemu ya mchezo.
Mistake ya leo ni kwenye sabu,Gamondi kachemka,kwani yanga mechi aliitawala zaidi ya asilimia sitini, kawajaza mastraiker watatu kwenye eneo moja ndio maana ikawa rahisi sana kwa mabeki wa Azam.Sub za leo angetakiwa aingie Okrah kipindi cha pili na Farid ,atleast wangewatanua mabeki wa Azam na kupunguza kasi ya mawinga wao wa pembeni na mianya ya kupata magoli ingepatikana.
Azam leo aliingia akihiheshimu Yanga,ndio maaana hakutaka viungo wake washindane na Yanga sababu anajua viungo wa Yanga ni bora. Yeye alitulia na kuamua kutumia nafasi zake chache, japo game plan ya leo ilikuwa kupoozesha mpira ili kuwatoa Yanga kwenye mchezo na alifanikiwa.
Gamondi leo kachemka kwenye sub.
Nyie si shabiki kitumbua/Sambusa.......Muwe mnatusikiliza wakubwa tukiongea, sio wote mashabiki maandazi.
Kwa nani?Muwe mnajifunza
Sio mbaya hata mimi ni mtaalamu wa mpira.Sisi watu wa mpira
kamtumia wapi?Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB.
Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha kidonda mechi na Al Ahly.
Tukimkosa Pacome na Aucho hatuwezi ipa upinzani Mamelod.
Kwemaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mtizamo, si wengine misemo ndio imetukuza.
Kama kawa matokeo ya Yanga yamekufanya ushahau mpaka matatizo yenu ila sio mbaya mmepiga picha na Mayele. Wakina Mangungu wataitumia kuombea kura na uzuri mtawapa.Kwemaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salamu tyuuh, lakini yanakutoka maneno shaziii.Kama kawa matokeo ya Yanga yamekufanya ushahau mpaka matatizo yenu ila sio mbaya mmepiga picha na Mayele. Wakina Mangungu wataitumia kuombea kura na uzuri mtawapa.