ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Huu ndio muda wa mbumbumbu kufurahi ligi ikianza wanarudi kwenye default settings
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Notedno one can change the heading, once published
Usajili wa wachezaji ni kama kamari. Wakati Ki anakuja alikuwa wa kawaida na alisugulishwa sana benchi na Fei Toto, na hakuna aliyejutia Ki kuwa na mkataba mfupi. Lakini msimu wa pili ameongeza makali mara dufu, sasa hapo ndipo mtu anaweza kuanza kujutia kama hiviYanga imenikera sana kumsajili Aziz Ki kwa mkataba mfupi. Bora hata gamondi.
Ila kwa aziz kii ni upumbavu kumpa miaka miwili tu.
Kabla ya kuja yanga Gamond alishafundisha timu nyingi kubwa kuliko yanga ikiwemo Mamelody.Anahitaji pesa nyingi kitu ambacho sioni kama ni sawa maana timu ndio ime-mbrand. Hata Ki akiendelea na msimamo wake wa kutaka pesa nyingi bora aende tutapata wengine bora zaidi
Ndio maana tunawambia mvumiliane Jobe na Fred,mwakani watakuwa wazuri.Usajili wa wachezaji ni kama kamari. Wakati Ki anakuja alikuwa wa kawaida na alisugulishwa sana benchi na Fei Toto, na hakuna aliyejutia Ki kuwa na mkataba mfupi. Lakini msimu wa pili ameongeza makali mara dufu, sasa hapo ndipo mtu anaweza kuanza kujutia kama hivi
Unampa mkataba wa miaka miwili MVP wa ligi ya Ivory Coast? Hapo tukubali Engineer alichochora.Yanga imenikera sana kumsajili Aziz Ki kwa mkataba mfupi. Bora hata gamondi.
Ila kwa aziz kii ni upumbavu kumpa miaka miwili tu.
Labda Fred, yule Jobe hapana 😁Ndio maana tunawambia mvumiliane Jobe na Fred,mwakani watakuwa wazuri.
Usiwe na kichwa kigumu kuna wachezaji hawakubali ku sign mkataba wa muda mrefu kwa sababu wanazo zijua wenyewe, pia mchezaji kua MVP sio grantee atafanya vizuri Hazard alienda Madrid wa moto nini kilitokea? Kramo wa Asec na huyu aliepo Simba ni watu wawili tofauti kabisaUnampa mkataba wa miaka miwili MVP wa ligi ya Ivory Coast? Hapo tukubali Engineer alichochora.
Usiwe na kichwa kigumu kuna wachezaji hawakubali ku sign mkataba wa muda mrefu kwa sababu wanazo zijua wenyewe, pia mchezaji kua MVP sio grantee atafanya vizuri Hazard alienda Madrid wa moto nini kilitokea? Kramo wa Asec na huyu aliepo Simba ni watu wawili tofauti kabisaUnampa mkataba wa miaka miwili MVP wa ligi ya Ivory Coast? Hapo tukubali Engineer alichochora.
Sawa mwenye kichwa kilaini. Nani anayeenda kula hasara hapo? Mchezaji kaprove kiwango kwenye Ligi bora kaprove kiwango CAF, kwanini usitake Risk kumtimizia maslahi yake?Usiwe na kichwa kigumu kuna wachezaji hawakubali ku sign mkataba wa muda mrefu kwa sababu wanazo zijua wenyewe, pia mchezaji kua MVP sio grantee atafanya vizuri Hazard alienda Madrid wa moto nini kilitokea? Kramo wa Asec na huyu aliepo Simba ni watu wawili tofauti kabisa
Si umemwelewa lakini? Nia ndo hiyo, hakuna cheti cha kuongea kingereza. Ni lugha tu. Nia ni kueleweka.You're trying but you need some retooling, try to read carefully on what you have written will notice the mistakes
Basi nenda kawe kiongozi wewe ambae sio oya oya tukuoneSawa mwenye kichwa kilaini. Nani anayeenda kula hasara hapo? Mchezaji kaprove kiwango kwenye Ligi bora kaprove kiwango CAF, kwanini usitake Risk kumtimizia maslahi yake?
Nadhani kichwa chako laini kina ufahamu kuhusu kipengere cha "Release Clause" kwanini wasingemshawishi kukiweka?
Kuna wakati hutakiwi kuwa Oya Oya unatakiwa ukitumie kichwa chako laini vizuri kabisa. Kwa akili ndogo tu unagundua Yanga wamescrew up na ukitaka kuthibitisha hili angalia trend ya mastar wataowasajili kuanzia sasa na aina ya mikataba watayowapa. Sina wasiwasi na Engineer ni kiongozi bora atajifunza kutokana na makosa. Ndivyo Uongozi Bora Ulivyo.
Ni ngumu kunielewa ukiwa Oya Oya.
Akiondoka Gamondi tutamuomba Benchika arudi Bongo, atatufaa sana yule.Well Gamondi and Yanga part away. it's over.
Yanga will have a new manager next season as tonight:
Gamondi refused a long term contract
Gamondi is still in contact with other big teams.
Gamondi has a contract but he is yet to sign.
these are Gamondi words a few minutes before yanga post.
Nimemsagia kunguni sana huyu jamaa 😂😂😂.
Akibaki sijui nitawaambia watu nini 😂
Tumeshaelewana Tena vizuri sanaSi umemwelewa lakini? Nia ndo hiyo, hakuna cheti cha kuongea kingereza. Ni lugha tu. Nia ni kueleweka.