Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Ngoja tumfafanulie "mwasi kitoko" maana yake "mwanamke mrembo".Mwasi Kitoko kila ukiandika uzi kuhusu Gamondi unaumbuka. Wewe CPA Okw Boban Sunzu mnafanana.
Hicho ni kilingala.
Tafsiri kwa hisani ya Lomalisa Mutambala na Yanick Litombo Bangala.