Tetesi: Gamondi and Yanga business is over. Yanga seeking a new manager

Tetesi: Gamondi and Yanga business is over. Yanga seeking a new manager

Kati ya vitu vinavyokera ni kusoma viinglish vya kibongo. Si tuandike tu kiswahili jamani
Hakuna mtu ambaye yupo hapa duniani kwa ajiri ya kukufurahisha. Kama jambo linakukela ni suala la wewe kulikwepa tu.
 
Yanga wana bahati ya kupata makocha wazuri...
 
Sawa mwenye kichwa kilaini. Nani anayeenda kula hasara hapo? Mchezaji kaprove kiwango kwenye Ligi bora kaprove kiwango CAF, kwanini usitake Risk kumtimizia maslahi yake?
Nadhani kichwa chako laini kina ufahamu kuhusu kipengere cha "Release Clause" kwanini wasingemshawishi kukiweka?

Kuna wakati hutakiwi kuwa Oya Oya unatakiwa ukitumie kichwa chako laini vizuri kabisa. Kwa akili ndogo tu unagundua Yanga wamescrew up na ukitaka kuthibitisha hili angalia trend ya mastar wataowasajili kuanzia sasa na aina ya mikataba watayowapa. Sina wasiwasi na Engineer ni kiongozi bora atajifunza kutokana na makosa. Ndivyo Uongozi Bora Ulivyo.

Ni ngumu kunielewa ukiwa Oya Oya.
Hata hiyo release clause kingekuwepo, mkataba ukiisha hakifanyi kazi na mchezaji anaondoka bure
 
Kadiri unavyonyamaza ndivyo unavyoweza kusikia zaidi. Anyway pole kwa stress
Sasa umeongea nini?? language ni means of communication vingine extra tu. na pia. hatupo kukufurahisha humu , unaweza sepa , hata ukifa , we won't care.
 
Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kama ni uongo lakini watauamini,wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao.
Sasa umeongea nini?? language ni means of communication vingine extra tu. na pia. hatupo kukufurahisha humu , unaweza sepa , hata ukifa , we won't care.
 
Well Gamondi and Yanga part away. it's over.

Yanga will have a new manager next season as tonight:

Gamondi refused a long term contract

Gamondi is still in contact with other big teams.

Gamondi has a contract but he is yet to sign.


these are Gamondi words a few minutes before yanga post.



Nimemsagia kunguni sana huyu jamaa 😂😂😂.

Akibaki sijui nitawaambia watu nini 😂
Yanga ni timu ya wananchi waja leo waondoka kesho

Itabaiki imara sana hata akija kufundisha fyatufyako YANGA bingwa

🤣
 
Mwasi Kitoko kila ukiandika uzi kuhusu Gamondi unaumbuka. Wewe CPA Okw Boban Sunzu mnafanana.
 
Nimemsagia kunguni sana huyu jamaa [emoji23][emoji23][emoji23].

Akibaki sijui nitawaambia watu nini [emoji23]

Gamondi kakupa funzo kubwa sana mpaka hapa, ni wewe kuamua kubadilika au kuendelea na akili za kujiabisha.
 
Well Gamondi and Yanga part away. it's over.

Yanga will have a new manager next season as tonight:

Gamondi refused a long term contract

Gamondi is still in contact with other big teams.

Gamondi has a contract but he is yet to sign.


these are Gamondi words a few minutes before yanga post.



Nimemsagia kunguni sana huyu jamaa 😂😂😂.

Akibaki sijui nitawaambia watu nini 😂

🤣🤣🤣Amebaki, sasa waambie watu!

20240609_200435.jpg
 
Sio bahati ni mipango. Scouting yao ipo vizuri

Mzee baba scouting imekuwepo miaka ya karibuni tu...

Huko nyuma hakukuwa na scouting lakini Yanga imewahi kuwa na makocha wazuri kama marehemu Nzoyisaba Tauzan, marehemu Tambwe Leya, Victor Stanculescu (sidhani kama yupo hai), marahemu Syllersaid Mziray, Raoul Shungu na makocha wengine wengi wakali wa miongo 3 iliyopita...
 
Back
Top Bottom