Tetesi: Gamondi and Yanga business is over. Yanga seeking a new manager

Kati ya vitu vinavyokera ni kusoma viinglish vya kibongo. Si tuandike tu kiswahili jamani
Hakuna mtu ambaye yupo hapa duniani kwa ajiri ya kukufurahisha. Kama jambo linakukela ni suala la wewe kulikwepa tu.
 
Yanga wana bahati ya kupata makocha wazuri...
 
Hata hiyo release clause kingekuwepo, mkataba ukiisha hakifanyi kazi na mchezaji anaondoka bure
 
Kadiri unavyonyamaza ndivyo unavyoweza kusikia zaidi. Anyway pole kwa stress
Sasa umeongea nini?? language ni means of communication vingine extra tu. na pia. hatupo kukufurahisha humu , unaweza sepa , hata ukifa , we won't care.
 
Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kama ni uongo lakini watauamini,wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao.
Sasa umeongea nini?? language ni means of communication vingine extra tu. na pia. hatupo kukufurahisha humu , unaweza sepa , hata ukifa , we won't care.
 
Yanga ni timu ya wananchi waja leo waondoka kesho

Itabaiki imara sana hata akija kufundisha fyatufyako YANGA bingwa

🤣
 
Mwasi Kitoko kila ukiandika uzi kuhusu Gamondi unaumbuka. Wewe CPA Okw Boban Sunzu mnafanana.
 
Yaani kina Mwasi wote huwa wana akili kasoro wewe tu
 
Nimemsagia kunguni sana huyu jamaa [emoji23][emoji23][emoji23].

Akibaki sijui nitawaambia watu nini [emoji23]

Gamondi kakupa funzo kubwa sana mpaka hapa, ni wewe kuamua kubadilika au kuendelea na akili za kujiabisha.
 

🤣🤣🤣Amebaki, sasa waambie watu!

 
Sio bahati ni mipango. Scouting yao ipo vizuri

Mzee baba scouting imekuwepo miaka ya karibuni tu...

Huko nyuma hakukuwa na scouting lakini Yanga imewahi kuwa na makocha wazuri kama marehemu Nzoyisaba Tauzan, marehemu Tambwe Leya, Victor Stanculescu (sidhani kama yupo hai), marahemu Syllersaid Mziray, Raoul Shungu na makocha wengine wengi wakali wa miongo 3 iliyopita...
 
Ajitahidi aondoke akwepe aibu ijayo utopolo uvumilivu 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…