Gamondi atema cheche,adai kuna wachezaji wanakesha kitambaa cheupe na uongozi hauwachukulii hatua

Pamoja na Kocha kutuhumiwa uongozi puia unahusika,kwanza mchezaji anayewekea timu masharti ya kuwa acheze 11 bila hivo anaondoka ,hao hawafai,pia hao wa wanaolipwa fedha nyingI halafu matokeo hayaonekani wajitafakari. Uongozi usiwafanye wachezaji marariki zao,wampe ushirikiano kocha.
 
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.

Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,

Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare
mchezaji gani wa yanga anayeshinda hiyo bar wanayoituhumu kwa ushoga, au ndio maana wameanza kufungwa hovyo?
 
Pamoja na Kocha kutuhumiwa uongozi puia unahusika,kwanza mchezaji anayewekea timu masharti ya kuwa acheze 11 bila hivo anaondoka ,hao hawafai,pia hao wa wanaolipwa fedha nyingI halafu matokeo hayaonekani wajitafakari. Uongozi usiwafanye wachezaji marariki zao,wampe ushirikiano kocha.
Kuna wachezaji wako close na uongozi kuliko Gamondi alivyo close na uongozi,matokeo yake wanajifanya mafaza kwenye timu,Simba bado inajotafuta ila kuna kitu walifanya kizuri kuruhusu mafaza wote waondoke kwa maslahi ya timu
 
Chanzo cha habari???
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.

Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,

Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare
 
Kuna wachezaji wako close na uongozi kuliko Gamondi alivyo close na uongozi,matokeo yake wanajifanya mafaza kwenye timu,Simba bado inajotafuta ila kuna kitu walifanya kizuri kuruhusu mafaza wote waondoke kwa maslahi ya timu
Simba walikuwa na mafaza wengi mno, na hawa ndio walikuwa wana drag team, until walipochukua hatua ndio matokeo yakaonekana
 
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.

Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,

Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare
Mnapenda uzushi ndugu zangu wa Kolo FC,vp mnashinda nao? Kufungwa tushafungwa au ww ulitaka kil siku tushinde sie.Hizi hali za mpito na timu itakaa sawa.
 
kwani aziz ki anaishi mbinguni au sayari ya mars? Au unaishi mbwinde ndani ndani? Aziza ki nimeshamuona mara kibao kitambaa cheupe akila shisha na malaya ndio maana kiwango kinashuka.
 
Reference ipo hapo juu.Aziz Ki akivuta shisha.Kuna picha nyingi mtandaoni .Nyingine akiwa DJ.
Sasa kafanya kosa gani? Yaani mda wake wa mapumziko asile maisha, maisha sio magumu namna hiyo. Huu mpira Madrid kapigwa tatu mfululizo, mara mbili kapigwa kwake goli zaidi ya tatu na bingwa wa UEFA msimu uliopita. Man City bingwa wa EPL mara tatu, kapigwa mara tatu mfululizo.

Mnataka kila siku timu ishinde......mseme GSM ananua mechi......
 
kwani aziz ki anaishi mbinguni au sayari ya mars? Au unaishi mbwinde ndani ndani? Aziza ki nimeshamuona mara kibao kitambaa cheupe akila shisha na malaya ndio maana kiwango kinashuka.
Mwache ale shisha mpira sio uwanja wa vita na ndio maana wanapumzika so mda wake wa mapumziko acha ale bata. Kwenye mpira kiwango kushuka na kupanda ni kawaida wakina Foden na Bellingham wale ni MVP msimu uliopita na viwango vyao vimeshuka msimu huu sio kwamba hawajui mpira.

Halafu unaumia nini Aziz K kula maisha wakati ww ni Kolo FC. We ni wakati wako wa kufurahi......
 
Ni kweli kuhusu hilo hata mimi naungana naye.

Kina Azizi Ki wame transform midomo na pua kuwa exhaust yani vinatoa moshi kuliko hata gari yenye piston ring mbovu.
View attachment 3147659

Naskia mchizi tank 3 za shisha anazikata zote peke yake sijui zinawekwa kwa ujazo gani (hili watajua wazoefu)
Starehe na mpira na mbingu na ardhi, Gamondi hapa kaongea la ukweli. Hapa Hersi anavuna alichokipanda kwa kuendekeza ushikaji kwa wachezaji. Mchezaji hadi anapandikizwa mahusiano na mobeto.
 
Wacha historia .Watu wanazungumzia msimu huu.Goli la Ken Gold,Offside dhidi ya Coastal Union. HIzo ni pointi 6 za dhuluma.Haki imetendeka dhidi ta Azam na Tabora pointi 6 zimedondoka
Tulidhulumiwa penalty,na ilibidi mchezaji wenu ale red,na bado mkatafutiwa goli la offside mkashindwa kufunga,na tukawakanda vile vile kimoko
 
Attachments

  • privaldinho_20241021_reel_3483626017370192945_1_3483626017370192945.mp4
    3 MB
Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare
Kwa akili za makolo ni sahihi!
 
Back
Top Bottom