mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #61
Wazungu wana nidhamu sana ujueKosa silioni mbona ulaya wakina Roomey, Dwight Yoke walikuwa wanakula bata,mpaka mida mibovu Halafu tokea lini ukawa na uchungu na Yanga........ kwani MVP wa mwaka jana Madrid ni nani? Msimu huu kiwango chake kipoje?
Ulaya hasa EPL bafahamu kuwa huwa hawakai kambini na ole wako uchelewe hata dakika tano mazoezini.
Pata picha huku kwetu wachezaji wangekuwa wanatokea nyumbani ingekuwa kituko
Wenzetu wanaheshimu kazi,ataenda club kulingana na ratiba ya mechi