Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hii kali sanaKama timu inaweza kutoa tiketi kwa vipofu ili waje kushuhudia mechi yao, unadhani kuna watu wanajitambua hapo
Pambana na timu yenu ya vikongweMy take:
Wenye akili sasa hivi ni watatu akiwemo huyu Gamondi
Unaambiwa kamati kuu ilipitisha jambo hilo🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hii kali sana
Kwamba?Kama timu inaweza kutoa tiketi kwa vipofu ili waje kushuhudia mechi yao, unadhani kuna watu wanajitambua hapo
mbona kelele hueleweki.Kaongea kiswahili...? Weka video tujionee wenyewe....
Mbongo siwezi kumuamini anajua sana kupindisha maneno, ndo maana kwenye vita ya Israel na palestina nikiona mada imeanzishwa na FaizaFoxy MK254 Alwaz Ritz na the likes hua sifungui kabisa maana washafungamana na upande mmoja, yanii mtu anageuza geuza maneno ilmaradi habari iwe na tija kwenye upande anaoshabikia
Ukiona kitu huelewi ujue haukua mlengwambona kelele hueleweki.
Kwani wao si watu? Au mpira ni kuona tu?Kama timu inaweza kutoa tiketi kwa vipofu ili waje kushuhudia mechi yao, unadhani kuna watu wanajitambua hapo
Gamondi aungwe mkono..."Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Atuachie team yetu[emoji1787]"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo husika, najua huo ndio utaratibu wa klabu kuhamasisha ila sio utaratibu mzuri kwangu mimi binafsi." - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu Yanga
Kwahiyo walipewa tiketi za kwenda uwanjani kusikiliza redio!!!???Kwani wao si watu? Au mpira ni kuona tu?
Sijui umri wako ila miaka ya nyuma tulikuwa tunasikiliza mpira kwenye redio.