Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gamond amesoma thread yangu, Mimi ndiye nimeweka Uzi hapa Jana kupinga huu uswahili uswahili.Hatimaye Gamondi kakubaliana na usemi wangu kuwa yanga ni Club ya kizaramo
Kwakuwa kuongea mzungu ndio mnaelewa, nilipoweka thread kupinga huu upumbavu na misuli hamkunishambulia hapa?Hii kitu waitoe inawapa pressure wachezaji nilisema since day one ndio yale yale ya mgeni rasimi mwisho wa siku akaishia kuumia
Hatimaye mmepata cha kuwafariji.
Nawaona mmejazana hapa mnajichekesha tu, yatakayowakuta Botswana muendelee kuchekelea hivihivi.
Gamond amesoma thread yangu, Mimi ndiye nimeweka Uzi hapa Jana kupinga huu uswahili uswahili.
Ndio baadhi ya matutusa hapa JF wajuwe kuna watu tupo mbele ya wakati.
Hawa kina Ally Kamwe na huyu Ahmed Ally si watu wa kuchekewa.
Otherwise tutumie mfumo wa UEFA tu mambo ya timu anaongea kocha fullstop.
Simba na Yanga zote zimeanzia Uzaramoni na Wazaramo wenyewe ni Waswahili pure. Kwa hiyo huwezi badili ukweli na huo uswahili/Uzaramo ndio ukfanya hata wewe uipende Yanga au Simba na kuzifanya vilabu viku wa vya mpira nchini.Hatimaye Gamondi kakubaliana na usemi wangu kuwa yanga ni Club ya kizaramo
Kariakoo inamilikiwa na Wakinga, amka usingizini utajikojolea.Simba na Yanga zote zimeanzia Uzaramoni na Wazaramo wenyewe ni Waswahili pure. Kwa hiyo huwezi badili ukweli na huo uswahili/Uzaramo ndio ukfanya hata wewe uipende Yanga au Simba na kuzifanya vilabu viku wa vya mpira nchini.
Brother nakuheshimu tusije vunjiana heshima hapaKwakuwa kuongea mzungu ndio mnaelewa, nilipoweka thread kupinga huu upumbavu na misuli hamkunishambulia hapa?
Ninaposemaga kuna ambao hamna akili huwa nawatukana?
1935 kulikua na wakinga wangapi karikoo?Kariakoo inamilikiwa na Wakinga, amka usingizini utajikojolea.
Ahmed Ally hajawahi kutuletea pigo za kiwaki anaelewa huku kwetu kuna watu wenye akili.Gamond amesoma thread yangu, Mimi ndiye nimeweka Uzi hapa Jana kupinga huu uswahili uswahili.
Ndio baadhi ya matutusa hapa JF wajuwe kuna watu tupo mbele ya wakati.
Hawa kina Ally Kamwe na huyu Ahmed Ally si watu wa kuchekewa.
Otherwise tutumie mfumo wa UEFA tu mambo ya timu anaongea kocha fullstop.
Wewe dokta wa mchoñgo waasisi wa hizo timu sio wakinga hao wapuuzi wenzio wakinga ni wageni wa jijiKariakoo inamilikiwa na Wakinga, amka usingizini utajikojolea.
Choko baba'ko mzazi, shenzi taipu.Choko wewe waasisi wa hizo timu sio wakinga
Umesahau mechi ya derby mgeni rasmi alikuwa mumeo kibu kwa mujibu wa ahmed alli?Ahmed Ally hajawahi kutuletea pigo za kiwaki anaelewa huku kwetu kuna watu wenye akili.
Hayo maswala ya kuvakishana misuli mara sijui Azizi Ki day watu wanaomesha mapaja. Ni mambo ambayo yanafanyika huko huko Gongowazi.
Huku watu tupo smart na ndio maana tukiamua mambo yetu hatuwezi kumsikiliza yeyote.
Wakinga ni wapangaji wa fremu za biashara kama walivyo wageni wengine wachaga,wamachinga,wapemba n.k hilo halina ubishi mkuu.Kariakoo inamilikiwa na Wakinga, amka usingizini utajikojolea.
Dokta wa mchongoChoko baba'ko mzazi, shenzi taipu.
Sasa mechi kuwa na mgeni rasmi si ni utaratibu tu ambao upo siku zote.Umesahau mechi ya derby mgeni rasmi alikuwa mumeo kibu kwa mujibu wa ahmed alli?
Nikweli siyo utaratibu mzuri hasa mkibamizwa ila mkishinda duu hapo ni tabulele"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo husika, najua huo ndio utaratibu wa klabu kuhamasisha ila sio utaratibu mzuri kwangu mimi binafsi." - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu Yanga
Wewe ndiyo huna akili kwani jamiiforum inakulipa?Kwakuwa kuongea mzungu ndio mnaelewa, nilipoweka thread kupinga huu upumbavu na misuli hamkunishambulia hapa?
Ninaposemaga kuna ambao hamna akili huwa nawatukana?
Unaona ulivyo kiazi sasa kuna tofauti gani kati ya kumfanya kibu kama mgeni rasmi na kuwa na siku inayoitwa azizi k day? Hao wasemaji wa yanga na simba wana utoto mwingi mnoSasa mechi kuwa na mgeni rasmi si ni utaratibu tu ambao upo siku zote.
Kilichobadilika pale ni kumuweka Kibu (kitu ambacho kilikuwa ni kizuri kuliko maswala ya kuwaalika viongozi wa CCM jambo ambalo lilikuwa linawagawa mashabiki)
Sasa nyinyi mnavaa sijui mishipi mara mvalishwe nepi kisa tu kumsherekea Azizi Ki?
Ali Komwe na Priva wana '"utoto'" mwingi sana."Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo husika, najua huo ndio utaratibu wa klabu kuhamasisha ila sio utaratibu mzuri kwangu mimi binafsi." - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu Yanga