Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Azizi Ki hakuwa mgeni rasmi kwenye mechi.Unaona ulivyo kiazi sasa kuna tofauti gani kati ya kumfanya kibu kama mgeni rasmi na kuwa na siku inayoitwa azizi k day? Hao wasemaji wa yanga na simba wana utoto mwingi mno
Azizi Ki alitumika kama buster ya kufanya Club i take over kwenye socia media kwa kuwaambia mashabiki wapost picha wakiwa wamevaa nusu uchi.
Maana yake hiyo ilikuwa inamuhusu hata baba yako endapo naye alikuwa ni mshabiki wa Yanga.
Utaona poa kumuona dingi kakunja bukata kama diaper ili kutekeleza kauli mbiu ya msemaji?
Sasa vipi kuhusu kuvaa misuli?
Na mwingine amesema kwenye hiyo misuli msivae kitu ndani yani muwe uchi. Kweli jambo hili unataka kulishabihiana na Kibu kuwa mgeni rasmi?