Gamondi: Sikubaliani mechi kupewa jina la mchezaji

Gamondi: Sikubaliani mechi kupewa jina la mchezaji

Kwani wao si watu? Au mpira ni kuona tu?

Sijui umri wako ila miaka ya nyuma tulikuwa tunasikiliza mpira kwenye redio.
Uliwahi kwenda uwanjani kusikiliza matangazo mpira..?

Ni bora vipofu wangeandaliwa ukumbi popote pazuri na kuwekewa radio.

Kipofu unamkatia tiketi ya mzunguko kwa mkapa...?
 
"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.

Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo husika, najua huo ndio utaratibu wa klabu kuhamasisha ila sio utaratibu mzuri kwangu mimi binafsi." - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu Yanga
Yanga kwa kuigaiga
 
Ni sawa kwa kocha kusema hivyo japo alikurupuka kwani issue hiyo haimuhusu yeye na maandalizi ya timu kwa ajili ya game.
 
Back
Top Bottom