Gamondi: Sikubaliani mechi kupewa jina la mchezaji

Gamondi: Sikubaliani mechi kupewa jina la mchezaji

Kwani mechi gani ilipewa jina la mchezaji gani ?
Mtoa Mada hajaikamilisha hii habari.
 
Mganga wetu amesema bacca ndio nyota yake ina shine siku hyo yaani huyo kavumilia mpaka yamemshinda hata ujinga wakuweka mabango mzee alipinga na kusherehekea goli 5 miezi miwili mfululizo lakini hakuwa na jinsi.
 
Amekazia kocha wetu... "Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu. Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo husika, najua huo ndio utaratibu wa klabu kuhamasisha ila sio utaratibu mzuri kwangu mimi binafsi." Amesema Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mechi ya CAFCL dhidi ya Al Ahly.

#CAFCL #YangaSC #EastAfricaTV
1701502268546.jpg
 
Hii habari ndio umriona leo au? Mbona humu zineanzishwa nyuzi 7 na yako ni ya 8 kuhusu hili. Je hii itasaidia kuwafunga wale Galaxy leo kule Botswana? Naona mnalazimisha furaha kwa nguvu. Mnajua kujifariji sana nyie.
 
Hii habari ndio umriona leo au? Mbona humu zineanzishwa nyuzi 7 na yako ni ya 8 kuhusu hili. Je hii itasaidia kuwafunga wale Galaxy leo kule Botswana? Naona mnalazimisha furaha kwa nguvu. Mnajua kujifariji sana nyie.
Tunataka Gamondi asikilizwe ili kuiokoa Uto yenye viongozi wenye akili nusu, nasisitiza kwa kupost zaidi ya mara 7 msikilizeni Gamondi ana hoja ya kiutu uzima.
 
Brother unaweza Mmulikia Taa kipofu Usiku??

Je wajua kummulikia Taa kipofu, Si kumaliza mafuta / umeme wako bureee???

Unauliza kuhusu vipofu kulipiwa Ticket, wakaangalie mpira.... Naomba nikuulize Je Kilema anbaye hawezi Tembea kumnunulia Viatu Ni sawa sawa??
we kilaza unasema viziwi mlikuwa mnasikiliza mpira kwenye redio?
 
Back
Top Bottom