Gamondi: Sikubaliani mechi kupewa jina la mchezaji

Hatimaye Gamondi kakubaliana na usemi wangu kuwa yanga ni Club ya kizaramo
Gamond amesoma thread yangu, Mimi ndiye nimeweka Uzi hapa Jana kupinga huu uswahili uswahili.

Ndio baadhi ya matutusa hapa JF wajuwe kuna watu tupo mbele ya wakati.

Hawa kina Ally Kamwe na huyu Ahmed Ally si watu wa kuchekewa.

Otherwise tutumie mfumo wa UEFA tu mambo ya timu anaongea kocha fullstop.
 
Hatimaye mmepata cha kuwafariji.

Nawaona mmejazana hapa mnajichekesha tu, yatakayowakuta Botswana muendelee kuchekelea hivihivi.
 
Hatimaye Gamondi kakubaliana na usemi wangu kuwa yanga ni Club ya kizaramo
Simba na Yanga zote zimeanzia Uzaramoni na Wazaramo wenyewe ni Waswahili pure. Kwa hiyo huwezi badili ukweli na huo uswahili/Uzaramo ndio ukfanya hata wewe uipende Yanga au Simba na kuzifanya vilabu viku wa vya mpira nchini.
 
Simba na Yanga zote zimeanzia Uzaramoni na Wazaramo wenyewe ni Waswahili pure. Kwa hiyo huwezi badili ukweli na huo uswahili/Uzaramo ndio ukfanya hata wewe uipende Yanga au Simba na kuzifanya vilabu viku wa vya mpira nchini.
Kariakoo inamilikiwa na Wakinga, amka usingizini utajikojolea.
 
Ahmed Ally hajawahi kutuletea pigo za kiwaki anaelewa huku kwetu kuna watu wenye akili.

Hayo maswala ya kuvakishana misuli mara sijui Azizi Ki day watu wanaomesha mapaja. Ni mambo ambayo yanafanyika huko huko Gongowazi.

Huku watu tupo smart na ndio maana tukiamua mambo yetu hatuwezi kumsikiliza yeyote.
 
Umesahau mechi ya derby mgeni rasmi alikuwa mumeo kibu kwa mujibu wa ahmed alli?
 
Umesahau mechi ya derby mgeni rasmi alikuwa mumeo kibu kwa mujibu wa ahmed alli?
Sasa mechi kuwa na mgeni rasmi si ni utaratibu tu ambao upo siku zote.

Kilichobadilika pale ni kumuweka Kibu (kitu ambacho kilikuwa ni kizuri kuliko maswala ya kuwaalika viongozi wa CCM jambo ambalo lilikuwa linawagawa mashabiki)

Sasa nyinyi mnavaa sijui mishipi mara mvalishwe nepi kisa tu kumsherekea Azizi Ki?
 
Nikweli siyo utaratibu mzuri hasa mkibamizwa ila mkishinda duu hapo ni tabulele
 
Kwakuwa kuongea mzungu ndio mnaelewa, nilipoweka thread kupinga huu upumbavu na misuli hamkunishambulia hapa?

Ninaposemaga kuna ambao hamna akili huwa nawatukana?
Wewe ndiyo huna akili kwani jamiiforum inakulipa?
Halafu jifunze kuwa Kuna kutofautiana mitazamo
 
Unaona ulivyo kiazi sasa kuna tofauti gani kati ya kumfanya kibu kama mgeni rasmi na kuwa na siku inayoitwa azizi k day? Hao wasemaji wa yanga na simba wana utoto mwingi mno
 
Ali Komwe na Priva wana '"utoto'" mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…