Uliwahi kwenda uwanjani kusikiliza matangazo mpira..?Kwani wao si watu? Au mpira ni kuona tu?
Sijui umri wako ila miaka ya nyuma tulikuwa tunasikiliza mpira kwenye redio.
Hujambo mrembo..?Hatimaye mmepata cha kuwafariji.
Nawaona mmejazana hapa mnajichekesha tu, yatakayowakuta Botswana muendelee kuchekelea hivihivi.
Yanga kwa kuigaiga"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo husika, najua huo ndio utaratibu wa klabu kuhamasisha ila sio utaratibu mzuri kwangu mimi binafsi." - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu Yanga
Lakini mashabiki wa Simba hawakulazimishwa kusokota Rasta kama nyie mlivyolazimishwa kujifunga vikoi na kanga bila nguo za ndaniKIBU D, MGENI RASMI WA DERBY. Mnawahi sana kusahau
AaahaaaaAnzisha uzi basi mkuu
Kuwa Yanga robo fainali ili iwe kinyume chake
Nakuomba sana Mkuu fanya ivo
umemaanisha viziwi wanaweza kusikiliza mpira redioni.Umefaidika nini kwa kuniita kilaza.
Na sijui wapi nimesema kiziwi. Hoja ilikuwa kuwalipia tiketi vipofu soma vizuri ndugu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]My take:
Wenye akili sasa hivi ni watatu akiwemo huyu Gamondi
Hahaaaaaa jf tiba ya msongo kwakweliUkiona kitu huelewi ujue haukua mlengwa