Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, aende kua baba bora na sio bora baba!Ah ww mama deal na mtoto wako wa kiume ili aje kuwa baba bora wa familia
Tatizo la Gadner ni kuongea hadharani. Ila mawazo yake hayana tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Too low ...Huyu jamaa inaonekana anaogopa majukumu(bills za dogo),na huyo sugar dady atapigwa vizinga mpaka na baba Karen, shame on you Gadner, bora kukaa kimya tu,kuliko kuropoka upupu. "Huu mzigo", na zile picha binti kubwa hivo kumlalia baba kifuani, uzungu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa na kipato chochote cha kumuwezesha kuishi unamaanisha hivyo?Mbona hata yeye alikuwa Mario. Kalelewa na Jaydee. Sasa haya ndio maelekoezo anampa binti yake wa pekee. Hopeless kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee kwani hujaoa tu?Aje kwangu tu huyo hakuna namna.. Kwa wengine wote ataona kero nao pia watamuona kero@Karaoke,
Jr[emoji769]
Vijana wengi sasa hivi wanapenda shortcut na kulelewa, gadner kawapa chngamoto naona wanajifnya hawajamuelewa wanamsakama.Hakuna baba anayependa binti yake aolewe na mtu maskini akateseke, Hakuna nakwambia..Ni bas tu hakunaga namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliVijana wengi sasa hivi wanapenda shortcut na kulelewa, gadner kawapa chngamoto naona wanajifnya hawajamuelewa wanamsakama.
Vijana wanafedhehesha kwa kiasi kikubwa japo sio wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yako kachemka alafu unakuja kutetea upumbavu hapa, sawa msemaji wa Gardner ndege wafananao huruka pamoja.
Hakuna baba anayependa binti yake aolewe na mtu maskini akateseke, Hakuna nakwambia..Ni bas tu hakunaga namna
Sent using Jamii Forums mobile app