Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Enzi za nailazimisha furaha wakati moyoni nina majonzi..
Dah... Jide alikuwa anatisha bwana... cjui labda sifahamu lakini namuona Jide yule wa miaka ile alikuwa balaa... manake piga ua lazima ningenunua album yake!
 
Ah! Yaani ndoa ndo ku-enjoy wakati ni majanga? Kwanza huyo mwanamke atakayekuja kwangu baada ya wiki tu atataka kurudi kwao! Mwanamke gani atamtaka mwanaume anaepanda kitandani saa sita au saa saba lakini ikifika saa 11 alfajiri keshakurupuka zamani... ukimkuta kwenye kazi zake, usimwongeleshe... pita kimya kimya uende uende zako!!!!

Mwanaume ambae yuko busy hivyo simuhitaji unarudi umechoka hata unyumba kutoa hapo inakua shida ukirudi ni kumbonji tu. Unarudi mke kalala unaondoka bado kalala
 
Uyu Gadner alimkuta Jide na umaarufu wake lkn!!!! Ebu tusubirie tuone muda utatuletea report gani. Bt kwamimi jide ataendelea kusikika tu hata bila uwepo wa Gadner.
Ni kweli alikuwa maarufu lakini kama mwanamuziki bado alihitaji mtu wa kusimamia kazi zake... unaweza kuwa mwanamuziki mzuri kuliko wote duniani lakini ukakosa management qualities hata kama ungetaka ujisimamie mwenyewe... so, mameneja wana nafasi kubwa sana katika muziki! Na Gardner alikuwa ni zaidi ya ordinary manager coz' nadhani hata kwenye show yake, Gardner anaisimamia kama producer! Pamoja na umaarufu wa Jide, lakini kuna sehemu Jide kama Jide anaweza kushindwa kwenda kutengeneza michongo coz' mishe mishe za mjini zinapatikana bar ambako Gardner ni mfuasi!
 
Dah... Jide alikuwa anatisha bwana... cjui labda sifahamu lakini namuona Jide yule wa miaka ile alikuwa balaa... manake piga ua lazima ningenunua album yake!

Alikua juu kipindi kile na enzi zile kulikua hakuna wasanii wengi wa kike kama siku hizi....
 
Mkuu Matola ni kwamba unajipigia promo ili uuwe tembo kwa ubua kwa wadada waliokata tamaa ya kutopata mtoto, au?
Hapana mkuu hii siyo promo ni fact.

JF siku hizi inaguests wengi ukifunguka sana kuna wanaojuwa kusoma mwandiko.
Haaaaa Matola we utafanyanye maana watu wanapaa sana mwezini lakini unakuta mimba ndio hazishiki
Take it from me wala sina haja ya maneno mengi wala promo.
warumi kama ana kumbukumbu nzuri nilimweleza hili mwaka jana baada ya hadithi za Jide kuwa nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume ambae yuko busy hivyo simuhitaji unarudi umechoka hata unyumba kutoa hapo inakua shida ukirudi ni kumbonji tu. Unarudi mke kalala unaondoka bado kalala
Thubutu... ukiona umenyimwa unyumba sio kwa ajili ya kuchoka, labda kuchoshwa na wanaojua kuchosha... sema tatizo utakuwa unaamshwa usingizini ili uwajibike!
 
Sure... na hizo conditional a.k.a assumptions kama ulivyoziita nilishazisema tangu awali... kwamba kile kitakachothibitika ni jasho la Jide peke yake lazima kitawekwa pembeni na kama kuna cha Gadner peke yake nacho kitawekwa pembeni halafu wataangalia kama kuna makubaliano yoyote kati yao! Hilo ni lazima coz' haiwezekani na wala haitakuja kutokea kwamba, let's say leo hii Mzee Mengi anavuta Avemaria halafu siku unapewa cha mbavu halafu udai pasu kwa pasu... itakuwa ni wizi wa mchana kweupe!! Haya nimekufurahisha, na mimi nifurahishe basi manake nimenuna tangu jana baada ya kukimbiwa na nifah...

Kumfurahisha mtu haihitaji shurti wala ombi....huja automatically tu!

Ila hapo kwenye mgawanyo hawa watu kazi wanayo hasa ukizingatia kazi ya Jaydee. Ila Gadner nae ni mzembe sana aisee!
 
Last edited by a moderator:
Thubutu... ukiona umenyimwa unyumba sio kwa ajili ya kuchoka, labda kuchoshwa na wanaojua kuchosha... sema tatizo utakuwa unaamshwa usingizini ili uwajibike!

Haaaa huko kuniamsha usiku utake tuanze match ndio utanichosha zaidi...
Huko kuwa busy mwanzo mwisho utakuja kukuta unachapiwa na vidume wenzio
 
Kumfurahisha mtu haihitaji shurti wala ombi....huja automatically tu!

Ila hapo kwenye mgawanyo hawa watu kazi wanayo hasa ukizingatia kazi ya Jaydee. Ila Gadner nae ni mzembe sana aisee!
Uzembe wake upi Ave? Pamoja na kwamba ni kweli Gardner alimkuta Jide tayari akiwa maarufu lakini kwa kuangalia biashara ya muziki wakati ule sidhani kama alikuwa na mafanikio makubwa kiuchumi! Baada ya kufunga ndoa, wakawa mwili mmoja... katika mazingira kama hayo, u-selfish mnaweka pembeni na kuwa together as one! Sikubaliani na dhana inayosemwa kwamba alijisahau... alijisahau vipi wakati walianza from the scratch? Ina maana angemuibia mkewe ili akajenge kisiri siri?
 
Ni kweli alikuwa maarufu lakini kama mwanamuziki bado alihitaji mtu wa kusimamia kazi zake... unaweza kuwa mwanamuziki mzuri kuliko wote duniani lakini ukakosa management qualities hata kama ungetaka ujisimamie mwenyewe... so, mameneja wana nafasi kubwa sana katika muziki! Na Gardner alikuwa ni zaidi ya ordinary manager coz' nadhani hata kwenye show yake, Gardner anaisimamia kama producer! Pamoja na umaarufu wa Jide, lakini kuna sehemu Jide kama Jide anaweza kushindwa kwenda kutengeneza michongo coz' mishe mishe za mjini zinapatikana bar ambako Gardner ni mfuasi!

Hivyo vitu unavyoviongea wewe vinaweza kuwa relevant but yet inadmissible!
 
Labda aliona hawezi....
Aliimbaga nyimbo gani Fina hata sikumbuki vizuri
Nyimbo ya kwanza nadhani alikuwa amerudia nyimbo ya zamani (smething like Shoga) halafu kulikuwa na nyimbo nyingine nimeisahau! Kuhusu kujua, anajua aisee sema labda alikosa confidence!
 
Hivyo vitu unavyoviongea wewe vinaweza kuwa relevant but yet inadmissible!
Ni inadmissible kivipi? Let's put it in other way round! Assume JIde angekuwa ndo mwanaume na Gardner mwanamke! Je, could it be admissible kutaka kugawana?
 
Uzembe wake upi Ave? Pamoja na kwamba ni kweli Gardner alimkuta Jide tayari akiwa maarufu lakini kwa kuangalia biashara ya muziki wakati ule sidhani kama alikuwa na mafanikio makubwa kiuchumi! Baada ya kufunga ndoa, wakawa mwili mmoja... katika mazingira kama hayo, u-selfish mnaweka pembeni na kuwa together as one! Sikubaliani na dhana inayosemwa kwamba alijisahau... alijisahau vipi wakati walianza from the scratch? Ina maana angemuibia mkewe ili akajenge kisiri siri?

Ungekuwa weww you would have done the same?
Unastick tu kwenye biashara za mkeo kisa mu mwili mmoja?
 
Haaaa huko kuniamsha usiku utake tuanze match ndio utanichosha zaidi...
Huko kuwa busy mwanzo mwisho utakuja kukuta unachapiwa na vidume wenzio
Thubutu... kuchapiwa? Nani kasema! Kabla sijatoka asubuhi lazima nikuchoshe kwanza, baada ya hapo ukitaka kwingine basi utakuwa na mapepo labda kama kwa lengo la kunikomoa!
 
Ni kweli alikuwa maarufu lakini kama mwanamuziki bado alihitaji mtu wa kusimamia kazi zake... unaweza kuwa mwanamuziki mzuri kuliko wote duniani lakini ukakosa management qualities hata kama ungetaka ujisimamie mwenyewe... so, mameneja wana nafasi kubwa sana katika muziki! Na Gardner alikuwa ni zaidi ya ordinary manager coz' nadhani hata kwenye show yake, Gardner anaisimamia kama producer! Pamoja na umaarufu wa Jide, lakini kuna sehemu Jide kama Jide anaweza kushindwa kwenda kutengeneza michongo coz' mishe mishe za mjini zinapatikana bar ambako Gardner ni mfuasi!

Hapa tunaisemea mioyo ya Gadner na Jide ....chanzo cha kuachana kwao wanafaamu wenyewe. What if Gadner ndo chanzo?? Jide anasababu za kumlazimisha warudiane?

Kama imefika mwisho basi. Tumuache jide ajipe raha mwenyewe. Expirience ya kuachana kila mtu anayo, tunafaamu kabisa mkiachana mmoja wenu akawa kinganganizi atanyanyasika, sasa Kwann jide leo.
 
Ungekuwa weww you would have done the same? Unastick tu kwenye biashara za mkeo kisa mu mwili mmoja?
Kazi ya Gardner kama presenter ilikuwa inategemeana kwa kiasi kikubwa na kazi ya mke wake! Mimi binafsi, and am talking this from deep inside my heart, sioni mtu ambae anaweza kuwa trustworthy partner zaidi ya wife unless mwanamke mwenyewe awe stupid! Na sioni trust worth partner kwa mwanamke zaidi ya mume wake unless kama huyo mwanaume nae ni stupid! Gardner hakuwa kula kulala, alikuwa ana kazi yake na alikuwa anaingiza sana pesa kupitia matangazo lakini aliamua ku-invest trust yake kwa mkewe...
 
Ni inadmissible kivipi? Let's put it in other way round! Assume JIde angekuwa ndo mwanaume na Gardner mwanamke! Je, could it be admissible kutaka kugawana?

Huko ulikokwenda siko.
Nilikuquote kwa mujibu wa hizo sababu zako ulizokuwa unaziainisha i.e umanager na uproducer.
 
Back
Top Bottom