Dah... Jide alikuwa anatisha bwana... cjui labda sifahamu lakini namuona Jide yule wa miaka ile alikuwa balaa... manake piga ua lazima ningenunua album yake!Enzi za nailazimisha furaha wakati moyoni nina majonzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... Jide alikuwa anatisha bwana... cjui labda sifahamu lakini namuona Jide yule wa miaka ile alikuwa balaa... manake piga ua lazima ningenunua album yake!Enzi za nailazimisha furaha wakati moyoni nina majonzi..
Mwanaume unaenda kudai mali???
Mmmh hebu ajichungulie kama ni kweli mwanaume
Ah! Yaani ndoa ndo ku-enjoy wakati ni majanga? Kwanza huyo mwanamke atakayekuja kwangu baada ya wiki tu atataka kurudi kwao! Mwanamke gani atamtaka mwanaume anaepanda kitandani saa sita au saa saba lakini ikifika saa 11 alfajiri keshakurupuka zamani... ukimkuta kwenye kazi zake, usimwongeleshe... pita kimya kimya uende uende zako!!!!
Ni kweli alikuwa maarufu lakini kama mwanamuziki bado alihitaji mtu wa kusimamia kazi zake... unaweza kuwa mwanamuziki mzuri kuliko wote duniani lakini ukakosa management qualities hata kama ungetaka ujisimamie mwenyewe... so, mameneja wana nafasi kubwa sana katika muziki! Na Gardner alikuwa ni zaidi ya ordinary manager coz' nadhani hata kwenye show yake, Gardner anaisimamia kama producer! Pamoja na umaarufu wa Jide, lakini kuna sehemu Jide kama Jide anaweza kushindwa kwenda kutengeneza michongo coz' mishe mishe za mjini zinapatikana bar ambako Gardner ni mfuasi!Uyu Gadner alimkuta Jide na umaarufu wake lkn!!!! Ebu tusubirie tuone muda utatuletea report gani. Bt kwamimi jide ataendelea kusikika tu hata bila uwepo wa Gadner.
Dah... Jide alikuwa anatisha bwana... cjui labda sifahamu lakini namuona Jide yule wa miaka ile alikuwa balaa... manake piga ua lazima ningenunua album yake!
Hapana mkuu hii siyo promo ni fact.Mkuu Matola ni kwamba unajipigia promo ili uuwe tembo kwa ubua kwa wadada waliokata tamaa ya kutopata mtoto, au?
Take it from me wala sina haja ya maneno mengi wala promo.Haaaaa Matola we utafanyanye maana watu wanapaa sana mwezini lakini unakuta mimba ndio hazishiki
Thubutu... ukiona umenyimwa unyumba sio kwa ajili ya kuchoka, labda kuchoshwa na wanaojua kuchosha... sema tatizo utakuwa unaamshwa usingizini ili uwajibike!Mwanaume ambae yuko busy hivyo simuhitaji unarudi umechoka hata unyumba kutoa hapo inakua shida ukirudi ni kumbonji tu. Unarudi mke kalala unaondoka bado kalala
Sure... Finna Mango ali-beep, nikampenda kwa mahaba yote lakini ghafla akapotea! Akanikera ile mbaya!!Alikua juu kipindi kile na enzi zile kulikua hakuna wasanii wengi wa kike kama siku hizi....
Sure... na hizo conditional a.k.a assumptions kama ulivyoziita nilishazisema tangu awali... kwamba kile kitakachothibitika ni jasho la Jide peke yake lazima kitawekwa pembeni na kama kuna cha Gadner peke yake nacho kitawekwa pembeni halafu wataangalia kama kuna makubaliano yoyote kati yao! Hilo ni lazima coz' haiwezekani na wala haitakuja kutokea kwamba, let's say leo hii Mzee Mengi anavuta Avemaria halafu siku unapewa cha mbavu halafu udai pasu kwa pasu... itakuwa ni wizi wa mchana kweupe!! Haya nimekufurahisha, na mimi nifurahishe basi manake nimenuna tangu jana baada ya kukimbiwa na nifah...
Thubutu... ukiona umenyimwa unyumba sio kwa ajili ya kuchoka, labda kuchoshwa na wanaojua kuchosha... sema tatizo utakuwa unaamshwa usingizini ili uwajibike!
Sure... Finna Mango ali-beep, nikampenda kwa mahaba yote lakini ghafla akapotea! Akanikera ile mbaya!!
Uzembe wake upi Ave? Pamoja na kwamba ni kweli Gardner alimkuta Jide tayari akiwa maarufu lakini kwa kuangalia biashara ya muziki wakati ule sidhani kama alikuwa na mafanikio makubwa kiuchumi! Baada ya kufunga ndoa, wakawa mwili mmoja... katika mazingira kama hayo, u-selfish mnaweka pembeni na kuwa together as one! Sikubaliani na dhana inayosemwa kwamba alijisahau... alijisahau vipi wakati walianza from the scratch? Ina maana angemuibia mkewe ili akajenge kisiri siri?Kumfurahisha mtu haihitaji shurti wala ombi....huja automatically tu!
Ila hapo kwenye mgawanyo hawa watu kazi wanayo hasa ukizingatia kazi ya Jaydee. Ila Gadner nae ni mzembe sana aisee!
Ni kweli alikuwa maarufu lakini kama mwanamuziki bado alihitaji mtu wa kusimamia kazi zake... unaweza kuwa mwanamuziki mzuri kuliko wote duniani lakini ukakosa management qualities hata kama ungetaka ujisimamie mwenyewe... so, mameneja wana nafasi kubwa sana katika muziki! Na Gardner alikuwa ni zaidi ya ordinary manager coz' nadhani hata kwenye show yake, Gardner anaisimamia kama producer! Pamoja na umaarufu wa Jide, lakini kuna sehemu Jide kama Jide anaweza kushindwa kwenda kutengeneza michongo coz' mishe mishe za mjini zinapatikana bar ambako Gardner ni mfuasi!
Nyimbo ya kwanza nadhani alikuwa amerudia nyimbo ya zamani (smething like Shoga) halafu kulikuwa na nyimbo nyingine nimeisahau! Kuhusu kujua, anajua aisee sema labda alikosa confidence!Labda aliona hawezi....
Aliimbaga nyimbo gani Fina hata sikumbuki vizuri
Ni inadmissible kivipi? Let's put it in other way round! Assume JIde angekuwa ndo mwanaume na Gardner mwanamke! Je, could it be admissible kutaka kugawana?Hivyo vitu unavyoviongea wewe vinaweza kuwa relevant but yet inadmissible!
Uzembe wake upi Ave? Pamoja na kwamba ni kweli Gardner alimkuta Jide tayari akiwa maarufu lakini kwa kuangalia biashara ya muziki wakati ule sidhani kama alikuwa na mafanikio makubwa kiuchumi! Baada ya kufunga ndoa, wakawa mwili mmoja... katika mazingira kama hayo, u-selfish mnaweka pembeni na kuwa together as one! Sikubaliani na dhana inayosemwa kwamba alijisahau... alijisahau vipi wakati walianza from the scratch? Ina maana angemuibia mkewe ili akajenge kisiri siri?
Thubutu... kuchapiwa? Nani kasema! Kabla sijatoka asubuhi lazima nikuchoshe kwanza, baada ya hapo ukitaka kwingine basi utakuwa na mapepo labda kama kwa lengo la kunikomoa!Haaaa huko kuniamsha usiku utake tuanze match ndio utanichosha zaidi...
Huko kuwa busy mwanzo mwisho utakuja kukuta unachapiwa na vidume wenzio
Ni kweli alikuwa maarufu lakini kama mwanamuziki bado alihitaji mtu wa kusimamia kazi zake... unaweza kuwa mwanamuziki mzuri kuliko wote duniani lakini ukakosa management qualities hata kama ungetaka ujisimamie mwenyewe... so, mameneja wana nafasi kubwa sana katika muziki! Na Gardner alikuwa ni zaidi ya ordinary manager coz' nadhani hata kwenye show yake, Gardner anaisimamia kama producer! Pamoja na umaarufu wa Jide, lakini kuna sehemu Jide kama Jide anaweza kushindwa kwenda kutengeneza michongo coz' mishe mishe za mjini zinapatikana bar ambako Gardner ni mfuasi!
Kazi ya Gardner kama presenter ilikuwa inategemeana kwa kiasi kikubwa na kazi ya mke wake! Mimi binafsi, and am talking this from deep inside my heart, sioni mtu ambae anaweza kuwa trustworthy partner zaidi ya wife unless mwanamke mwenyewe awe stupid! Na sioni trust worth partner kwa mwanamke zaidi ya mume wake unless kama huyo mwanaume nae ni stupid! Gardner hakuwa kula kulala, alikuwa ana kazi yake na alikuwa anaingiza sana pesa kupitia matangazo lakini aliamua ku-invest trust yake kwa mkewe...Ungekuwa weww you would have done the same? Unastick tu kwenye biashara za mkeo kisa mu mwili mmoja?
Ni inadmissible kivipi? Let's put it in other way round! Assume JIde angekuwa ndo mwanaume na Gardner mwanamke! Je, could it be admissible kutaka kugawana?