Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

gadner anaserebuka na nini wakat range rover aliyokuwa akipigia misele kwa vimada vyake analo jide? jide kafa kaoza kwa jamaa ila sasa ivi naona kaamua ajipe likizo jamaa ni pasua kichwa sana, japokuwa alikuwa hana ubavu wa kumuacha jide

Hivi sasa hivi anaendesha gari ganii huyo gadna maana mhhhh Jide kiboko aisee ndio maana unampendaga warumi
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha
 
Hakika inasikitisha sana!
 
Last edited by a moderator:
Hivi sasa hivi anaendesha gari ganii huyo gadna maana mhhhh Jide kiboko aisee ndio maana unampendaga warumi

Mi ushaona nashobokaga na wasanii wasiojielewa? tena usinikumbushe ile ishu ya nanii
 
Last edited by a moderator:
Hivi sasa hivi anaendesha gari ganii huyo gadna maana mhhhh Jide kiboko aisee ndio maana unampendaga warumi

anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil
 
Last edited by a moderator:
anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil

Hhhhhaaaaa warumi una vituko eti ataishia kuviona kwenye dairy kila jumapili una manenoo
 
Last edited by a moderator:
kama ni ufukwe wa coco basi haingii akilini kwamba anasaliti ndoa na ameshatoa ufafanuzi mujarab
 
Hahaha haaaa eti sura ngumu ka t*ako la mpoto!!"
Heheheee welcome back warumi

Last edited by a moderator:
Mbona dem mwenyewe mzee afadhali hata Jidy, kweli hii dunia ngumu sana!

Hahahaha Muda mwingine ni ngumu kujua binadamu anataka nini! Na mara nyingi sisi wanaume huwa kila Leo tunabadilisha mahitaji kutoka kwa mwanamke!

Ndio maana unaweza ukakuta mtu alikuwa ni mpenzi wa wenye makalio makubwa akaoa na kuweka ndani lakini baada ya muda akaanza kutembea na mwenye flat screen ukaanza kushangaa!
Kwakweli hakuna mnyama complex na mgumu kumchunguza kama binadamu!

Huwa muda mwingine nakubaliana na wanao sema kuwa wanaume huwa hatujui tunahitaji nini hasa!
 
anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil

miss u jamani.afadhali umerudi.
 
Leo nimepitia profile yake ig

Very sad

Nimeona yupo kitandani toka 2007

Hivi Matumbo unafaham stori ya Ahmed Albaity??

kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu
 
Very sad

Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinaudhi kama unapambana kupata pesa na magari mwenzio anahonga na kutanua na mademu

Tena bora wangekuwa mademu wa mbali bali wakaribu

Aaargh acha jide apumzishe moyo aisee

anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…