Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

gadner anaserebuka na nini wakat range rover aliyokuwa akipigia misele kwa vimada vyake analo jide? jide kafa kaoza kwa jamaa ila sasa ivi naona kaamua ajipe likizo jamaa ni pasua kichwa sana, japokuwa alikuwa hana ubavu wa kumuacha jide

Hivi sasa hivi anaendesha gari ganii huyo gadna maana mhhhh Jide kiboko aisee ndio maana unampendaga warumi
 
Last edited by a moderator:
mwenzangu ndo maana kuna msemo husemao acheni mungu aitwe mungu, maana kama matatizo yangekuwa yanaenda kwa kina sie tu akina abdala marundu sijui ingekuwaje, maana apa tu tunayo ya kutosha, ila kwa kuwa sie sura zety ngumu kama t*ko la mpoto basi aaah matatizo yanaonekana kuwa ndio yetu ila wale wenye sura kama viatu vya four angle ndo hawatakiwi kuwa na matatizo, muache mungu aitwe mungu

hahahahaha
 
Ruttashobolwa uko sahihi alipata ajali tarehe 6/7/2007 hadi leo ni kama miaka 7 sasa..,

Leo ndio siku yake ya kuzaliwa, anasherehekea akiwa kitandani, hiyo siku yenyewe anasema alikua kachoka na hajisikii kabisa ila marafiki wakamsisitiza akakubali.. akaruka mara ya kwanza fresh ile ya mara ya pili ndio ikawa tabu hadi leo hii

Hakika inasikitisha sana!
 
Last edited by a moderator:
Hivi sasa hivi anaendesha gari ganii huyo gadna maana mhhhh Jide kiboko aisee ndio maana unampendaga warumi

Mi ushaona nashobokaga na wasanii wasiojielewa? tena usinikumbushe ile ishu ya nanii
 
Last edited by a moderator:
Hivi sasa hivi anaendesha gari ganii huyo gadna maana mhhhh Jide kiboko aisee ndio maana unampendaga warumi

anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil
 
Last edited by a moderator:
anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil

Hhhhhaaaaa warumi una vituko eti ataishia kuviona kwenye dairy kila jumapili una manenoo
 
Last edited by a moderator:
kama ni ufukwe wa coco basi haingii akilini kwamba anasaliti ndoa na ameshatoa ufafanuzi mujarab
 
Hahaha haaaa eti sura ngumu ka t*ako la mpoto!!"
Heheheee welcome back warumi

mwenzangu ndo maana kuna msemo husemao acheni mungu aitwe mungu, maana kama matatizo yangekuwa yanaenda kwa kina sie tu akina abdala marundu sijui ingekuwaje, maana apa tu tunayo ya kutosha, ila kwa kuwa sie sura zety ngumu kama t*ko la mpoto basi aaah matatizo yanaonekana kuwa ndio yetu ila wale wenye sura kama viatu vya four angle ndo hawatakiwi kuwa na matatizo, muache mungu aitwe mungu
 
Last edited by a moderator:
Mbona dem mwenyewe mzee afadhali hata Jidy, kweli hii dunia ngumu sana!

Hahahaha Muda mwingine ni ngumu kujua binadamu anataka nini! Na mara nyingi sisi wanaume huwa kila Leo tunabadilisha mahitaji kutoka kwa mwanamke!

Ndio maana unaweza ukakuta mtu alikuwa ni mpenzi wa wenye makalio makubwa akaoa na kuweka ndani lakini baada ya muda akaanza kutembea na mwenye flat screen ukaanza kushangaa!
Kwakweli hakuna mnyama complex na mgumu kumchunguza kama binadamu!

Huwa muda mwingine nakubaliana na wanao sema kuwa wanaume huwa hatujui tunahitaji nini hasa!
 
anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil

miss u jamani.afadhali umerudi.
 
Leo nimepitia profile yake ig

Very sad

Nimeona yupo kitandani toka 2007

Hivi Matumbo unafaham stori ya Ahmed Albaity??

kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu
 
Very sad

Heaven on Earth
Daa kweli ina sikitisha!
Nasikia jamaa alikuwa anacheza sana michezo ya kuogelea siku moja wakati ana ruka akagonga kichwa na kudisturb uti wa mgongo! Kwa hiyo akapooza mwili mzima kasoro kichwa na Nina vyosikia ni mwaka wa saba yuko kitandani na Leo ni siku yake ya kuzaliwa!
Correct me if am wrong!
Duu ina sikitisha sana kweli Yatupasa kumshukuru Mungu kila saa!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinaudhi kama unapambana kupata pesa na magari mwenzio anahonga na kutanua na mademu

Tena bora wangekuwa mademu wa mbali bali wakaribu

Aaargh acha jide apumzishe moyo aisee

Back
Top Bottom