TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Pressure ya vikoba hii itaondoka na wengi sio utani.
 
Ulevi unaanza na hulka ya kunywa kila siku bia moja halafu unaanza kuongeza.

Ulevi ni addiction {uraibu}. Siku zote uraibu una sifa mbili.

Kwanza unakufilisi, pili unakuua. Jiwekee mipaka ya unywaji pombe vinginevyo itakuangamiza.

Jizoeze kuitawala pombe imeangusha wengi sana.
 
Ulevi inaanza na bia moja tu. Ulevi ni addiction {uraibu}. Siku zote uraibu una sifa mbili.

Kwanza inakufilisi, pili inakuua. Jiwekee mipaka ya unywaji pombe vinginevyo itakuangamiza. Jizoeze kuitawala pombe imeangusha wengi sana.
Mkuu pombe haiwezi nifilisi hicho ni cha kwanza, pia naweza kuitawala pombe ambayo akinywa mtu mwingne anaweza kufa apo apo.

Babu ,bibi mama baba na ndugu zangu wote tunapenda pombe 🙏
 
Mkuu pombe haiwezi nifilisi hicho ni cha kwanza, pia naweza kuitawala pombe ambayo akinywa mtu mwingne anaweza kufa apo apo.

Babu ,bibi mama baba na ndugu zangu wote tunapenda pombe 🙏
Ubishi wako umeficha anguko lako. Walikufa kwa pombe mawaziri wenye vyeo na heshima zao, mifano ni mingi mno.
 
Ubishi wako umeficha anguko lako. Walikufa kwa pombe mawaziri wenye vyeo na heshima zao, mifano ni mingi mno.
😁😁😁 mkuu kama wewe ilikudhuru na hata ikanidhuru mimi sababu sio pombe sababu ni ulafi . Hata ukiwa mlafi wa maugali mwisho wa siku unapata kisukari na pressure je ugali ni mbaya watu wasile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…