TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

😁😁😁 mkuu kama wewe ilikudhuru na hata ikanidhuru mimi sababu sio pombe sababu ni ulafi . Hata ukiwa mlafi wa maugali mwisho wa siku unapata kisukari na pressure je ugali ni mbaya watu wasile?
Addiction ya pombe ni mbaya najua haya maneno huyapendi lakini yatamsaidia mwingine atakayeyasoma.
 
Walevi mnapenda kujifariji 🤣🤣🤣
Haya endeleeni kumoka ila maini, na figo lazima visumbue
Sisi sio walevi sisi ni wanywa pombe , je wajua ? Pombe ni kinywaji cha kale zaidi ukitoa maji na maziwa ? Alafu eti leo hii nyie kizazi cha 2000 mje mseme pombe ni mbaya🤣🤣🤣

Tatzo vijana wasiku hizi hawana nguvu za kumudu pombe una kuta kijana ana mademu 20 ,mara anyetuke mara ale chips mara anywe hizi takataka zinaitwa juice za viwandani na energy mara vyoda akinywa pombe lazima afe tu.
 
Addiction ya pombe ni mbaya najua haya maneno huyapendi lakini yatamsaidia mwingine atakayeyasoma.
Mkuu wala usijali siwezi chukia kipumbavu na sipo hivyo ,hakuna addiction yoyote nzuri , aina ya maisha tunayoishi yakufuga matumbo bila kufanya mazoezi ndio inachangia wanywa pombe wengi kufa kizembe , piga mazoezi kula vizuri kunywa pombe kwa afya Acha uzinzi lala kwa wakati ndio mfumo wangu wa maisha .
 
Unywe kilevi halafu ujiite mnywaji?? Ww ni mlevi.!! Niko msibani usinisumbue 🤣🤣🤣
 


Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-Jbrnyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.
Rip Gardner G Habash, Kapitain
Paskali
 
Hakuna nchi watu wanakunywa pombe kama ulaya na America ,haswa Russia , angalia jinsi wanavyoweza kuzimudu na mazoezi makali na misosi ya kiafya , UGALI Ni hatari kwenye afya kuliko pombe mara kumi.
Kama urusi miaka ya hivi karibuni ndio wameitambua bia kama ni kilevi ila miaka yote bia ilikua ni kinywaji baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…