TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein 🙏🏾. #TutaonanaBaadae

Wasafi Media
Yanga SC Shikamooni.
 
Mume wa zamani wa Jay D

Wa w
 
Back
Top Bottom