TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein 🙏🏾. #TutaonanaBaadae

Wasafi Media
🥺🥺🥺
 
Yale mashavu ilikuwa dalili mbaya sana, Janabi sasa watu titaanza kumzingatia, ni moyo,figo na ini.

A talent wasted in alcohol, bado wale wenzake wawili
 
Back
Top Bottom