TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Huyu jamaa wiki mbili zimepita niliona anahojiwa pale Zamaradi tv na bibie Zamaradi Mketema.

Jinsi alivyokuwa anaongea, kuna namna kiroho ni kama alikuwa anaaga hivi. Niliacha kuchezea simu nikawa namsikiliza kwa makini sana.

Leo kukutana na huu Uzi, ni jambo linalofikirisha sana asee!!.

Alale pema.
 
Na yeye Gadna alimchamba sana x wake, kumkojolesha sana sio kauli nzuri kwa mwenza wako hata kama mmliachana kwa mabaya

Yey
Kuna siku kipindi kile ndiyo wame achana tuu kuna clip moja akiwa stejini akasema hiyo kauli kwamba eti ame mkojolesha sana JIDE.
Dah!! Nili mdharau sana aisee, nilimuona mtu wa ajabu. Watu mme achana achaneni kistaarabu siyo kutoleana siri.

All in all YAMEPITA NA KWA SASA APUMZIKE KWA AMANI.
 
Yaan nani aliemkojolesha?
Kuna show Moja Ilikuwa Ya clouds Miaka kidogo nyuma Imepita Baada ya Jide kutoa Ndi ndi ndi..

Gadna akachukua Kipaza akasema nanukuu
"Mwambie huyo Mimi Ni mwanaume Hata hivyo nimeishi Naye miaka Mingi sana Na Nishamkojoza sana Kwahyo wala hanisumbui:"

But all in All Marehemu Hasemwi R.I.E.P Captain 🫡🫡
 
Back
Top Bottom