TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Afadhali tupeane moyo,ngoja nifungue kabia hapa.
Mwenyewe naumwa Figo hapa. sasa usipokunywa sa hii utakunywa mbinguni
Gardner Mwenyewe labda anasikitika huko kwanini aliacha bia zake
Hawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.
 
Kwenye swala la Kifo hakuna expert. Kila nafsi itaonja umauti, "no matter how smart you behave "
Kuna mambo mengine siyo ku generalise kwa sentensi hii. Nani anadhani ataishi milele kwani?

Tunasema tunayosema ili iwe fundisho kwa wengine. Kama unaweza ku avoid ile life style inaweza kukuongezea japo siku moja ya kuishi
 
Yale mashavu ilikuwa dalili mbaya sana, Janabi sasa watu titaanza kumzingatia, ni moyo,figo na ini.

A talent wasted in alcohol, bado wale wenzake wawili
Huu ni woga wa kufa. Umetafuta sababu ya kujifariji kuwa unastahili kuwa hai sababu hufanyi aliyoyafanya aliyefariki.

Hao wawili ndio watakufa sababu ni binadamu, ila haijulikani kati yako na wao nani atatangulia sasa usiseme bado wao kanakwamba unasubiria litokee wakati na wewe upo kwenye ratiba ya kifo na hujui ni lini na kinakujaje.

Apumzike kwa amani Gadna.
 
George Bantu, huyu naye kwa muonekano ni mgonjwa, wanatangaza kipindi kimoja, mwingine simkumbuki, ila alikuwa na kipindi cha mambo ya uswazi, nadhani anaitwa Mussa, wote walevi wa kutupwa.

May be Wasafi wampe angalizo Edo Kumwembe, anaingia kwenye kipindi akiwa mlevi kabisa mpaka sura yake imeshachakaa
Mwembe..😂😂😂😂😂 hizi pombe kali hizk aisee siyo poa kabisa
 
Back
Top Bottom