Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RipMtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein
Wasafi Media
View attachment 2968923
Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Usisahau kufanya kila jambo kwa kiasi, na kuzingatia mazoeziKwaio ushaur wako nini wewe usiekunywa pombe, usiekula nyama, usieendesha magari, usiefanya starehe
Wewe endelea kufanya rationalisation tuu, kifo ni lazima lakini biblia inaongea miaka 70 angalau. Wewe unaua viungo vyako kama moyo, figo, ini na mapafu kwa pombe na sigara unakuja ku justify eti kifo ni kifo tuu. Kufa kizembe na miaka 30- 40 unajua ni hasara gani unaacha kwa wategemezi wako. Nyie mliokata tamaa na maisha msitafute wafuasi.Sasa inakuwaje kuna watu life style yao ni nzuri, hawatumii vileo, anasa zozote ila wamekufa vijana tu na kuna mwamba hapo juu kasema babu yake anakunywa gongo na ana 98 years?
Kifo ni fumbo mjomba, siku ile unazaliwa amini ulizaliwa na destiny yako, duniani hakuna kuishi kwa kubahatisha au ku dictate ufe lini ndugu.
Hivi ni huyu alihojiana na Janabi akamwambia huo mwili siyo mzuriGadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Hakua mje wake acheni uchuroKufa ni kristo, kuishi ni faida..
Jide sasa Mjane rasmi
Bila sisi kunywa nchi itapitia kipindi kigumu sana , pombe haijawahi kuua mtu ila maamuzi ya mtu kuelekea pombe ndio yanaua .Mungu atupe mwisho Mwema! Sote tutakufa
Lavit njalas Miss_Mariaah machiaveli granitized OscarkambonaJr Lethergo magnifico min -me
Sikuwahi kumuona live baba wa watu nimeropoka tu, sijui kama alikua anakunywa au hapana
nipuuzieni..!
Sawa, uko sahihiHaijalishi unaishi lifestyle gani, mwisho wetu ni kifo tu.