TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Huyo mlevi na chapombe ulevi umeigharimu afya yake

Endeleeni kunywa na kujishindilia mi bia na miAlcohol kupitiliza kwa makusudi muue figo na maini

Mjifariji kwa kusema Kufa ni kufa

Mnamuona Dr Janabi ni Punguani hajui starehe anapowapa ushauri
Kwaiyo nyie walokole wenye vidole mtaishi miaka mingapi kwamfano?
 
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein

Wasafi Media

View attachment 2968923

Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Pumzika kwa Amani kaka
 
Ni yaleyale maswala ya figo? Maana ndio ugonjwa unaotamba
Apumzike kwa amani huko aendako.

Ila ANGALIZO KUBWA kwa Waandishi wa Habari wa Tanzania ni kwamba, kwenye tasnia yao na kwenye sehemu au mahala pao pa Kazi, wamepandikiziwa 'mamluki (nyoka)' wengi sana. 'Nyoka' hao wenye 'sumu Kali' wamekuwa wakiwagonga kimya kimya na kuwaangamiza kabisa Wahandishi wa Habari ambao 'Sponsa'(au Wafadhili) wao wanawaona kuwa ni 'Viherehere.'
 
Hawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.
Mkuu ni woga tu wa kifo wasamehewe.
Ubongo unamwaminisha kuwa wanaokufa kuna kitu wamekosea wakati wa kuishi ambacho mhusika hakitamtokea sababu yeye haishi hivyo.

Akishajiaminisha woga unapungua hajakaa sawa siku inafika anapaliwa na nyama inamkaba anakufa anatokea mwenzake naye anajifariji huyu amekufa sababu ya uroho, ni mroho mno, anabugia manyama makubwa makubwa angekula taratibu kama mimi asingekufa. Hivyo hivyo circle inaendelea.
 
Sasa inakuwaje kuna watu life style yao ni nzuri, hawatumii vileo, anasa zozote ila wamekufa vijana tu na kuna mwamba hapo juu kasema babu yake anakunywa gongo na ana 98 years?

Kifo ni fumbo mjomba, siku ile unazaliwa amini ulizaliwa na destiny yako, duniani hakuna kuishi kwa kubahatisha au ku dictate ufe lini ndugu.
The 109 years ww2 veteran alikuwa anavuta pakti kadhaa za sigara kila siku!! Na hakufa kwa kansa, Warren buffet is 94 years old na anakunywa 5 cans of coca cola daily, with junk foods hasa sweets and fried chickens.
Maisha ni bahati tu sio uhodari wala kanuni
 
Mkuu ni woga tu wa kifo wasamehewe.
Ubongo unamwaminisha kuwa wanaokufa kuna kitu wamekosea wakati wa kuishi ambacho mhusika hakitamtokea sababu yeye haishi hivyo.

Akishajiaminisha woga unapungua hajakaa sawa siku inafika anapaliwa na nyama inamkaba anakufa anatokea mwenzake naye anajifariji huyu amekufa sababu ya uroho, ni mroho mno, anabugia manyama makubwa makubwa angekula taratibu kama mimi asingekufa. Hivyo hivyo circle inaendelea.
Kifo hakipaswi kuogopewa hata kidgo ,ni kupoteza mda kuogopa kufa .
 
Huyo mlevi na chapombe ulevi umeigharimu afya yake

Endeleeni kunywa na kujishindilia mi bia na miAlcohol kupitiliza kwa makusudi muue figo na maini

Mjifariji kwa kusema Kufa ni kufa

Mnamuona Dr Janabi ni Punguani hajui starehe anapowapa ushauri
Fala wewe huna unachojua...Janabi amshauri nani?...atakushauri pimbi kama wewe.....aanze na afya yake!
Wapi wamesema amefariki sababu ya pombe?...kwa hiyo walio shinikizo la juu la damu wanakunywa pombe?...
Pimbi wewe
 
Back
Top Bottom