TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein

Wasafi Media

View attachment 2968923

Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Rip

Pole pia ziende kwa Jay Dee
 
Kuna show Moja Ilikuwa Ya clouds Miaka kidogo nyuma Imepita Baada ya Jide kutoa Ndi ndi ndi..

Gadna akachukua Kipaza akasema nanukuu
"Mwambie huyo Mimi Ni mwanaume Hata hivyo nimeishi Naye miaka Mingi sana Na Nishamkojoza sana Kwahyo wala hanisumbui:"

But all in All Marehemu Hasemwi R.I.E.P Captain 🫡🫡
Kumbe ndio ilikua hivi?
 
Kuna siku kipindi kile ndiyo wame achana tuu kuna clip moja akiwa stejini akasema hiyo kauli kwamba eti ame mkojolesha sana JIDE.
Dah!! Nili mdharau sana aisee, nilimuona mtu wa ajabu. Watu mme achana achaneni kistaarabu siyo kutoleana siri.

All in all YAMEPITA NA KWA SASA APUMZIKE KWA AMANI.
Wanaume ni wachungu sana wanaposalitiwa. Wanaweza wakaongea lolote
 
Akina nani hao wakuu wataje majina
George Bantu, huyu naye kwa muonekano ni mgonjwa, wanatangaza kipindi kimoja, mwingine simkumbuki, ila alikuwa na kipindi cha mambo ya uswazi, nadhani anaitwa Mussa, wote walevi wa kutupwa.

May be Wasafi wampe angalizo Edo Kumwembe, anaingia kwenye kipindi akiwa mlevi kabisa mpaka sura yake imeshachakaa
 
Na hayo ndio maisha mkuu ,ata ukila mchicha utakufa tu , tusiogope kunywa pombe na nyama ili tusife kama ni kufa tuta kufa tu.
Afadhali tupeane moyo,ngoja nifungue kabia hapa.
Mwenyewe naumwa Figo hapa. sasa usipokunywa sa hii utakunywa mbinguni
Gardner Mwenyewe labda anasikitika huko kwanini aliacha bia zake
 
Back
Top Bottom