Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
🤣🤣 noma sana ila mzee hata hapa tz kuna watu wanakula pombe jana kuna mitaa nilikua naunguza maini kidogo, oya kuna mwamba alikula konyagi kubwa na kisichana akiwa alone.Umenikumbusha pande za Moshi Kuna mwamba mmoja alikua anaitwa fipe hili jina tulimuita fipe kwasababu alikua akitukuta bar anasema fipe filewe fikalale alafu mwamba anaosha Benz lake na kreti ya bia🤣
Kisichana ndo kidogoo au??? Falaa snaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana ila mzee hata hapa tz kuna watu wanakula pombe jana kuna mitaa nilikua naunguza maini kidogo, oya kuna mwamba alikula konyagi kubwa na kisichana akiwa alone.
Eee mzee🤣🤣Kisichana ndo kidogoo au??? Falaa snaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyagi kubwa Ina kilevi kingi mkuu ukichanganya na kasichana Tena sio poa kiafya wengine wanafanya sifa au ushamba tu🤣🤣🤣 noma sana ila mzee hata hapa tz kuna watu wanakula pombe jana kuna mitaa nilikua naunguza maini kidogo, oya kuna mwamba alikula konyagi kubwa na kisichana akiwa alone.
Kasichana ndio nini mkuu😅Nyagi kubwa Ina kilevi kingi mkuu ukichanganya na kasichana Tena sio poa kiafya wengine wanafanya sifa au ushamba tu🤣
Mungu ni mwema nilipona.ulipona...?
Mungu ni mwema nilipona.
Uzee mkuu. Hahaha. Ushawahi sikia kijana kastaafu? Wanastaafu wazee.Kwani kustaafu ni uzee au ni kwa mujibu wa sheria.....???
Noma aisee na anaongea point tuu kama hajanywa, kweli mzee zile ni sifa.Nyagi kubwa Ina kilevi kingi mkuu ukichanganya na kasichana Tena sio poa kiafya wengine wanafanya sifa au ushamba tu🤣
Mimi nadhani sio uzee bali ni taratibu za kisheria ndio maana kila nchi zinatofautiana umri wa kustaafu.........mtu mwenye miaka 60 bado ana nguvu kabisa na anafanya kazi ngumu.....nenda huko vijijini ukaone watu wenye miaka zaidi ya 70 wakilisukuma jembeUzee mkuu. Hahaha.
Uwezo jua pia msosi aliogonga Kuna watu kabla ya kunywa wanakula jogoo mzima kwanzaNoma aisee na anaongea point tuu kama hajanywa, kweli mzee zile ni sifa.
Mkuu pamoja na yote, miaka 60 ni mzee sio kijana.Mimi nadhani sio uzee bali ni taratibu za kisheria ndio maana kila nchi zinatofautiana umri wa kustaafu.........mtu mwenye miaka 60 bado ana nguvu kabisa na anafanya kazi ngumu.....nenda huko vijijini ukaone watu wenye miaka zaidi ya 70 wakilisukuma jembe
Kwani uzee nini....???Mkuu, miaka 60 ni mzee sio kijana.
Kakonyagi kadogo🤣Kasichana ndio nini mkuu😅
Hospitali niliwekewa dripu la maji ili presha ishuke. Natumia vidonge vya aspirin kwa ajili ya kuzuia stroke isijirudie pia vidonge vya presha vinaitwa Pregabalin na vya nerves vinaitwa neurotone.ulitumia dawa gani... nina ndugu yangu amepata stroke ila vidole vya mkono wa kulia vimegoma kabisa kuachia...!
Uzee ni ile hali ya kuishi miaka mingi katika life span ya maisha yaliyopo. Lets say life span ni miaka 80, halafu nina 60, mimi ni mzee kwenye jamii yangu.Kwani uzee nini....???
Kuishi miaka mingi sio uzee bali kuzoofika kwa mwili na kushindwa mambo yako ya kila siku kwa urahisi ndio uzee.........Uzee ni ile hali ya kuishi miaka mingi katika life span ya maisha yaliyopo. Lets say life span ni miaka 80, halafu nina 60, mimi ni mzee kwenye jamii yangu.
June hii hiiiAisee kuna uzuri wa ajabu hebu fanya hima mkuu