TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Umenikumbusha pande za Moshi Kuna mwamba mmoja alikua anaitwa fipe hili jina tulimuita fipe kwasababu alikua akitukuta bar anasema fipe filewe fikalale alafu mwamba anaosha Benz lake na kreti ya bia🤣
🤣🤣 noma sana ila mzee hata hapa tz kuna watu wanakula pombe jana kuna mitaa nilikua naunguza maini kidogo, oya kuna mwamba alikula konyagi kubwa na kisichana akiwa alone.
 
🤣🤣 noma sana ila mzee hata hapa tz kuna watu wanakula pombe jana kuna mitaa nilikua naunguza maini kidogo, oya kuna mwamba alikula konyagi kubwa na kisichana akiwa alone.
Nyagi kubwa Ina kilevi kingi mkuu ukichanganya na kasichana Tena sio poa kiafya wengine wanafanya sifa au ushamba tu🤣
 
Uzee mkuu. Hahaha.
Mimi nadhani sio uzee bali ni taratibu za kisheria ndio maana kila nchi zinatofautiana umri wa kustaafu.........mtu mwenye miaka 60 bado ana nguvu kabisa na anafanya kazi ngumu.....nenda huko vijijini ukaone watu wenye miaka zaidi ya 70 wakilisukuma jembe
 
ulitumia dawa gani... nina ndugu yangu amepata stroke ila vidole vya mkono wa kulia vimegoma kabisa kuachia...!​
Hospitali niliwekewa dripu la maji ili presha ishuke. Natumia vidonge vya aspirin kwa ajili ya kuzuia stroke isijirudie pia vidonge vya presha vinaitwa Pregabalin na vya nerves vinaitwa neurotone.
 
Uzee ni ile hali ya kuishi miaka mingi katika life span ya maisha yaliyopo. Lets say life span ni miaka 80, halafu nina 60, mimi ni mzee kwenye jamii yangu.
Kuishi miaka mingi sio uzee bali kuzoofika kwa mwili na kushindwa mambo yako ya kila siku kwa urahisi ndio uzee.........

Ndio maana unaulizwa how old are you........yaani Una miaka mingapi ya kuishi hapa duniani...........

Na hiyo inatofautiana na mtu na mtu kutokana na maumbile yake na vinsaba vyake.......kuna mtu ana miaka 60 lakini hajiwezi na kuna mtu ana miaka 70 lakini bado yuko active......ndio maana nadhani kuna baadhi ya mataifa unakuta mtu ana miaka 75 bado anafanya kazi
 
Back
Top Bottom