TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Inaonekana jamaa alikuwa hawezi kwenda on-air akiwa studio bila ya kupiga vyombo kwanza yeye na mwenzake George Bantu. Radio kama Broadcast Media unasikia sauti tu, huwezi kumwona mtangazaji. Hicho ndiyo kichaka wanachojificha watangazaji walevi wa redioni.
 
Nisiri ila kanamaliza Taifa silence 🀐
 
Mkuu Acha hizo kula pombe chapa kazi wanywa vyoda hawana hata Mia mbovu.
 
Themanini mingi hivyo?

Sema 55/60 ni kusema ule umri wa kustaafu ukifika wengi tutakuwa hoi ile kusogeza tu mguu kuitafuta hatua ya pili tutakuwa hatuwezi.
Tuanzishe uzi wa umri, kukumbushana ya miaka ya nyuma. Utakuta ID zingine ziko blank kwa miaka mingi.
Nadhani miaka 30 ijayo tu wengi wetu hatutokuwepo humu.
 
Tulishawaambia waache pombe wanajifanya wazee wa Mjini,wameshakata tamaa hao wote

Na watanyooka wasipobadilika
Siku hizi kuna hizi liqour shops zimegeuka bar, unakuta vijana humo wanakunywa pombe kali kwa kushindana, bado kuna bodaboda wananunua pombe kali kwa kina Mangi mitaani.

Baada ya miaka mitano ijayo tutakuwa na taifa moja la hovyo sana. Bahati mbaya Samia hafanyi kitu kupambana na hii hali sawa na alivyokuwa JK miaka ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…