Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP captain.Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein 🙏🏾. #TutaonanaBaadae
Wasafi Media
Oh! Very Sad 😢 News.Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein 🙏🏾. #TutaonanaBaadae
Wasafi Media
Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wazimaMtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein 🙏🏾. #TutaonanaBaadae
Wasafi Media
Usipokunywa pombe hautakufa?? Au unataka tufe na Figo nzima ili iweje dada ephen😜Endeleeni kunywa pombe..!
Apumzike kwa amani!
Duh! Msiba umetufikia wote hadi tumepoteana kama ndugu. RIP Gadner!🙏April 20, 2023 ndio wewe unataka kusemaje amekosea? Kwani huu Mwaka gani?
Nimehisi hivyo, nieleweshe mkuuApril 20, 2023 ndio wewe unataka kusemaje amekosea? Kwani huu Mwaka gani?
Amesema April 20Nimehisi hivyo, nieleweshe mkuu