Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hapana boss. Uzee unapimwa kwa miaka. Katika miaka 80, umeishi 70 umebakisha 10 wewe ni mzee hata kama una nguvu.Kuishi miaka mingi sio uzee bali kuzoofika kwa mwili na kushindwa mambo yako ya kila siku kwa urahisi ndio uzee.........
Uzoofu wa mwili unaweza tokana na sababu nyingi. Kuna vijana dhaifu.
Yap, na kama upo kwenye 50's unaambiwa uzee unakunyemelea.Ndio maana unaulizwa how old are you........yaani Una miaka mingapi ya kuishi hapa duniani...........
Hapa kuna mzee mwenye nguvu na mzee asiye na nguvu ila wote wazee.Na hiyo inatofautiana na mtu na mtu kutokana na maumbile yake na vinsaba vyake.......kuna mtu ana miaka 60 lakini hajiwezi na kuna mtu ana miaka 70 lakini bado yuko active
Pamoja na kuzifanya kazi bado ni mzee. Yaani kama life span ni 80 kabakisha 5. Anakuaje si mzee?......ndio maana nadhani kuna baadhi ya mataifa unakuta mtu ana miaka 75 bado anafanya kazi