TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Kuishi miaka mingi sio uzee bali kuzoofika kwa mwili na kushindwa mambo yako ya kila siku kwa urahisi ndio uzee.........
Hapana boss. Uzee unapimwa kwa miaka. Katika miaka 80, umeishi 70 umebakisha 10 wewe ni mzee hata kama una nguvu.
Uzoofu wa mwili unaweza tokana na sababu nyingi. Kuna vijana dhaifu.
Ndio maana unaulizwa how old are you........yaani Una miaka mingapi ya kuishi hapa duniani...........
Yap, na kama upo kwenye 50's unaambiwa uzee unakunyemelea.
Na hiyo inatofautiana na mtu na mtu kutokana na maumbile yake na vinsaba vyake.......kuna mtu ana miaka 60 lakini hajiwezi na kuna mtu ana miaka 70 lakini bado yuko active
Hapa kuna mzee mwenye nguvu na mzee asiye na nguvu ila wote wazee.
......ndio maana nadhani kuna baadhi ya mataifa unakuta mtu ana miaka 75 bado anafanya kazi
Pamoja na kuzifanya kazi bado ni mzee. Yaani kama life span ni 80 kabakisha 5. Anakuaje si mzee?
 
Hapana boss. Uzee unapimwa kwa miaka. Katika miaka 80, umeishi 70 umebakisha 10 wewe ni mzee hata kama una nguvu.
Uzoofu wa mwili unaweza tokana na sababu nyingi. Kuna vijana dhaifu.

Yap, na kama upo kwenye 50's unaambiwa uzee unakunyemelea.

Hapa kuna mzee mwenye nguvu na mzee asiye na nguvu ila wote wazee.

Pamoja na kuzifanya kazi bado ni mzee. Yaani kama life span ni 80 kabakisha 5. Anakuaje si mzee?
Hahahaha!!!!

Hiyo miaka iliyobakia kaiweka Nani.....??
 
Angle ni hiyo hiyo mkuu. Life span ikienda juu sana ni 120. Binafsi naamini katika kufurahia kila stage ya maisha. Utoto una burudani zake, ujana una burudani zake na uzee hivyo hivyo. Kuukataa uzee ni kuzikataa hizo burudani na huwa hazirudi.
Kweli ndugu yangu hapo ndio umemaliza kila kitu.........

Ubarikiwe sana...... nikutakie wakati mwema wewe na wapendwa wako.....
 
George bantu ni kijana mdogo sana ila sura na mwili wake umeshaanza kuchoka sijui kwa nn hawajifunzi kuna siku alikesha baa mpaka asubuh akaenda kulala clouds ofisini ili kipindi cha jahazi kikianza wamuamshe na aliona ni kawaida tu.
George ana kama umri gani? pwilo

Gadner na Kibonde walikuwa wakubwa kiumri kwake, ata yeye mwenyewe ile siku Gadner anarejea Clouds kutokea EFM radio alisema anajivunia kufanya kazi na wakongwe katika tasnia ya habari.

Ila George aliendana nao sana nadhani hadi kwenye life style.

Kabla ya hapo George alikuwa karibu sana na Kenedy the Remedy
 
Back
Top Bottom