TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Jamaa alikuwa na marehemu Ephraim Kibonde kipindi Cha jahazi aisee walikuwa wanaleta ladha ya ajabu.....kile ki George Bantu...kinatia huruma aisee amebaki mwenyewe sijui itakuwaje...
 
Sasa kulikua na haja gani ya Yesu kufa msalabani kama bado tunapata dhambi?
Yeye ametufutia dhambi zipi?
........kila amwaminiye atapata uzima wa milele. Sasa mimi namuamini kwahiyo nna uzima wa milele, dhambi zinatoka wapi wakati Yesu alishatukatia bima ya dhambi?
anakufutia dhambi unazotubu, hakufutii dhambi unazobaki nazo mwenyewe. wewe ni darasa la ngapi?
 
Dhambi gani sasa?
Kama anafuta dhambi tukitubu, kwanini alisulubiwa? Pale msalabani ametufutia dhambi zipi?
 
alisulibiwa ili kwa dhambi utakayofanya, badala ya wewe kuadhibiwa, kitendo chako cha kutubu tu akusamehe kwa adhabu ambayo alishapitia pale msalabani. zamani wanadamu walikuwa wakitenda dhambi wanatoa kafala lao,wengine walichinja na kuchoma ng'ombe, kondoo,njiwa n.k. idadi ya dhambi zako au awamu za dhambi zako zitaendana na idadi ya wanyama utakaochinja. wanachinja mnyama badala ya kuchinjwa wao.

kwahiyo hata Yesu alipokuja alikuja kufanyika kafara ili watu wasichinje tena wanyama wakifanya dhambi, watubu, yeye alishachinjwa badala ya yeyote "atakayetubu". wale wasiotubu hawajumuishwi. ukisikia Yesu alibeba dhambi zetu au adhabu zetu haimaanishi kwamba atazibeba bila wewe kuzipeleka kwake. ndio maana anasema "Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha". Pia, asiungamaye dhambi zake na kuziacha atapata rehema, anayezifidha dhambi zake hatafanikiwa. kama hujaelewa hadi hapa basi utakuwa na shida.
 
Mkuu hapa umetupiga.
Kawaida ya kafara na kufanya matoleo haikuwa sababu ya dhambi aisee.
Ibrahim mfano wake alitaka kumchinja Isaka kwa ajili ya matoleo Mungu akamfanyia tofauti. Kwani Ibrahim alikua na dhambi gani?
 
NDUNGU YANGU, HUIJUI BIBLIA NA UPO GIZANI, KUBALI KUFUNDISHWA PENGINE UTAPONYA ROHO YAKO. USIFANYE SHINGO YAKO NGUMU, ISIJEVUNJIKA UKAKOSA DAWA. Mungu akusaidie, nakuombea kwa Mungu. kimbia, usije kukinywa kikombe kimoja cha hasira ya Mungu pamoja na mzee wa neema.

MAMBO YA WALAWI 14:13; kisha atamchinja huyo mwana-kondoo mahali hapo wachinjapo sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa, ndani ya mahali patakatifu; kwa kuwa kama hiyo sadaka ya dhambi ilivyo ya kuhani, ni vivyo sadaka ya hatia; ni takatifu sana; 14kisha huyo kuhani atatwaa katika hiyo damu ya sadaka ya hatia, naye kuhani ataitia katika ncha ya sikio la kuume la huyo atakayetakaswa, na katika chanda cha gumba cha mkono wake wa kuume, na katika kidole kikuu cha mguu wake wa kuume;

MAMBO YA WALAWI 4:22 - 23: Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lo lote katika hayo ambayo BWANA, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia; 23akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi awe matoleo yake, mume, mkamilifu;

MAMBO YA WALAWI 5:5; kisha itakuwa, hapo atakapokuwa na hatia katika mambo hayo mojawapo, ndipo atakapoliungama jambo hilo alilolikosa; 6naye atamletea BWANA sadaka yake ya hatia kwa ajili ya hiyo dhambi yake aliyoifanya, mwana-kondoo wa kike, au mbuzi mke, kutoka katika kundi lake, kuwa ni sadaka ya dhambi; kisha kuhani atamfanyia upatanisho kwa ajili ya hiyo dhambi yake.

MAMBO YA WALAWI 12:6; Kisha hizo siku za kutakaswa kwake zitakapotimia, kwa ajili ya mwana, au kwa ajili ya binti, ataleta mwana-kondoo wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya kuteketezwa na kinda la njiwa, au hua, kuwa sadaka ya dhambi, awalete mlangoni pa hema ya kukutania, na kumpa kuhani;

kuna mistari mingi, naomba nikuachie tu hiyo.
 
Apumzike kwa amani kapiteeeni , msalimie mzee wa Asaalaaaammmaleyykhuuuuum mzee Kibs Kibonde, mwenyezi Mungu amrehemu na Pole kwa mwanae Caren kajukuu na familia ya Clouds.
 
Na yeye Gadna alimchamba sana x wake, kumkojolesha sana sio kauli nzuri kwa mwenza wako hata kama mliachana kwa mabaya.
So lady j dee alivyomuita gadner chizi ilikuwa sawa sio, this man was so humble bt huyo bi dada ndo alikuwa akimchokonoa,
Jamaa akaona isiwe tabu, akaachia kombola moja ambalo limebaki kuwa vichwani kwa madada km nyie…..
Perhaps alichozungumza was not right 🤭
 
Kuna siku kipindi kile ndiyo wame achana tuu kuna clip moja akiwa stejini akasema hiyo kauli kwamba eti ame mkojolesha sana JIDE.
Dah!! Nili mdharau sana aisee, nilimuona mtu wa ajabu. Watu mme achana achaneni kistaarabu siyo kutoleana siri.

All in all YAMEPITA NA KWA SASA APUMZIKE KWA AMANI.
Kuachana kistaarabu ndo kwa style ile ya dadaako kumuita chizi, mara amtungie minyimbo album nzima y kumtukana? Hv huo ufeminism utawaisha lini?
 
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein

Wasafi Media

View attachment 2968923

Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
RIP Joseee Joseee
 
Back
Top Bottom