lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Jamaa alikuwa na marehemu Ephraim Kibonde kipindi Cha jahazi aisee walikuwa wanaleta ladha ya ajabu.....kile ki George Bantu...kinatia huruma aisee amebaki mwenyewe sijui itakuwaje...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anakufutia dhambi unazotubu, hakufutii dhambi unazobaki nazo mwenyewe. wewe ni darasa la ngapi?Sasa kulikua na haja gani ya Yesu kufa msalabani kama bado tunapata dhambi?
Yeye ametufutia dhambi zipi?
........kila amwaminiye atapata uzima wa milele. Sasa mimi namuamini kwahiyo nna uzima wa milele, dhambi zinatoka wapi wakati Yesu alishatukatia bima ya dhambi?
Dhambi gani sasa?anakufutia dhambi unazotubu, hakufutii dhambi unazobaki nazo mwenyewe. wewe ni darasa la ngapi?
alisulibiwa ili kwa dhambi utakayofanya, badala ya wewe kuadhibiwa, kitendo chako cha kutubu tu akusamehe kwa adhabu ambayo alishapitia pale msalabani. zamani wanadamu walikuwa wakitenda dhambi wanatoa kafala lao,wengine walichinja na kuchoma ng'ombe, kondoo,njiwa n.k. idadi ya dhambi zako au awamu za dhambi zako zitaendana na idadi ya wanyama utakaochinja. wanachinja mnyama badala ya kuchinjwa wao.Dhambi gani sasa?
Kama anafuta dhambi tukitubu, kwanini alisulubiwa? Pale msalabani ametufutia dhambi zipi?
alisulibiwa ili kwa dhambi utakayofanya, badala ya wewe kuadhibiwa, kitendo chako cha kutubu tu akusamehe kwa adhabu ambayo alishapitia pale msalabani. zamani wanadamu walikuwa wakitenda dhambi wanatoa kafala lao,wengine walichinja na kuchoma ng'ombe, kondoo,njiwa n.k. idadi ya dhambi zako au awamu za dhambi zako zitaendana na idadi ya wanyama utakaochinja. wanachinja mnyama badala ya kuchinjwa wao.
kwahiyo hata Yesu alipokuja alikuja kufanyika kafara ili watu wasichinje tena wanyama wakifanya dhambi, watubu, yeye alishachinjwa badala ya yeyote "atakayetubu". wale wasiotubu hawajumuishwi. ukisikia Yesu alibeba dhambi zetu au adhabu zetu haimaanishi kwamba atazibeba bila wewe kuzipeleka kwake. ndio maana anasema "Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha". Pia, asiungamaye dhambi zake na kuziacha atapata rehema, anayezifidha dhambi zake hatafanikiwa. kama hujaelewa hadi hapa basi utakuwa na shida.
Mkuu hapa umetupiga.alisulibiwa ili kwa dhambi utakayofanya, badala ya wewe kuadhibiwa, kitendo chako cha kutubu tu akusamehe kwa adhabu ambayo alishapitia pale msalabani. zamani wanadamu walikuwa wakitenda dhambi wanatoa kafala lao,wengine walichinja na kuchoma ng'ombe, kondoo,njiwa n.k. idadi ya dhambi zako au awamu za dhambi zako zitaendana na idadi ya wanyama utakaochinja. wanachinja mnyama badala ya kuchinjwa wao.
kwahiyo hata Yesu alipokuja alikuja kufanyika kafara ili watu wasichinje tena wanyama wakifanya dhambi, watubu, yeye alishachinjwa badala ya yeyote "atakayetubu". wale wasiotubu hawajumuishwi. ukisikia Yesu alibeba dhambi zetu au adhabu zetu haimaanishi kwamba atazibeba bila wewe kuzipeleka kwake. ndio maana anasema "Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha". Pia, asiungamaye dhambi zake na kuziacha atapata rehema, anayezifidha dhambi zake hatafanikiwa. kama hujaelewa hadi hapa basi utakuwa na shida.
NDUNGU YANGU, HUIJUI BIBLIA NA UPO GIZANI, KUBALI KUFUNDISHWA PENGINE UTAPONYA ROHO YAKO. USIFANYE SHINGO YAKO NGUMU, ISIJEVUNJIKA UKAKOSA DAWA. Mungu akusaidie, nakuombea kwa Mungu. kimbia, usije kukinywa kikombe kimoja cha hasira ya Mungu pamoja na mzee wa neema.Mkuu hapa umetupiga.
Kawaida ya kafara na kufanya matoleo haikuwa sababu ya dhambi aisee.
Ibrahim mfano wake alitaka kumchinja Isaka kwa ajili ya matoleo Mungu akamfanyia tofauti. Kwani Ibrahim alikua na dhambi gani?
Ni kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze.
Inasikitisha sana Jasiri Muongoza njia si alipita na Jide? Jide -> Captain.
Kwa Mabronzo,masista du,machizi,wazazi ,walimu na wanafunzi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=yl7KSdlAciY
CC Maghayo
Kilikuja na meliGone Soon ....sio Going Soon mkuuu
Nilikuwa sijuiFine by falsafa.
Hahahaha kwa nini mkuu mbona nawe umeweka mkuu?Hilo libendera liondoe mkuu
Hahaha............eti sharing is caring 😅Sharing is caring
Dr ungejibu hata machache hapa ungesaidia wengi sana,and u know that! Huko PM atakuja kila mtu? Fanya kwa ajili ya jamiiNikipata Muda Nitakucheck PM
So lady j dee alivyomuita gadner chizi ilikuwa sawa sio, this man was so humble bt huyo bi dada ndo alikuwa akimchokonoa,Na yeye Gadna alimchamba sana x wake, kumkojolesha sana sio kauli nzuri kwa mwenza wako hata kama mliachana kwa mabaya.
🤣🤣🤣🙌🏽Kunywa kupitiliza unamaanisha kunywa mpaka chupa ama?
Kuachana kistaarabu ndo kwa style ile ya dadaako kumuita chizi, mara amtungie minyimbo album nzima y kumtukana? Hv huo ufeminism utawaisha lini?Kuna siku kipindi kile ndiyo wame achana tuu kuna clip moja akiwa stejini akasema hiyo kauli kwamba eti ame mkojolesha sana JIDE.
Dah!! Nili mdharau sana aisee, nilimuona mtu wa ajabu. Watu mme achana achaneni kistaarabu siyo kutoleana siri.
All in all YAMEPITA NA KWA SASA APUMZIKE KWA AMANI.
Bia mbili tu kwa masaa mawili au toti moja mls 100 kwa pombe kali tena uchanganye na limao na barafuTunywe ngapi kwa siku.
RIP Joseee JoseeeMtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein
Wasafi Media
View attachment 2968923
Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu