Aisee we Gardner, hii kauli usirudie tena manake sie wengine tuna wivu wa kurithi!Amesema mke wake huyo kwa sasa aliolewa japo wana mawasiliano mazuri sababu ya mtoto wao.
mchambo ulikuwaj jaman? niliona idris alivyomuita davto shoga kwenye mahojiano ntvBinamu huko insta asubuhi ya leo kulichachamaa miscreenshot ya WhatsApp text za kubwagana kati ya Wema na Idris mara Davito nae kaibuka kumchamba Idris basi vurumai tupu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yani sadifa mi simuelewi anafanya kazi sa ngapi kutwa kutupigisha umbea wa mkewe insta....mwanaume ana mdomo sijaona chaaa...wanaume wa pwani shkamoo. .huko jimboni kwake wanamuona kweli?Bora Gadner hajazungumzia ya mtalaka wake maana angekua Sadifa hapo angemwagika kama urojo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] woooi mbavu zangu mie sadifa ni shida sanaHaya maswali angeulizwa sadifa angetiririka kama taarab za nasma kidogo
Umeamua kulaani kabisa MtumishiMwache ajute. Malipo ni hapa hapa duniani. Mtu yoyote anatakaye muacha mume/ mke wake bila sababu ya msingi akaoa/kuolewa tena lazima apate matatizo mbeleni.
Hapana silaani. Kama kuna sababu za msingi za kumwacha mke au mume ni sawa kabisa. Lkn anayemwacha mke kwaajili ya mwanamke mwingine na alaaniwe.Umeamua kulaani kabisa Mtumishi
HATA KAMA CHANGUDOA UNAKOMAA NAE TU AU SIO?Mimi ninaamini mke wa kwanza kabisa ulieoana nae huyo ndio ubavu wako.Hakuna kosa kubwa kama kumuacha mkeo wako wa kwanza.Labda itokee amefariki hapo sawa,laasivyo..unajitafutia majanga tu
ulifikiri ameamishwa chairity wako hahahahhaaa yupoUpo charty....?
hahaha nikiona jina sadifa tu huwa nacheka mmmh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yani sadifa mi simuelewi anafanya kazi sa ngapi kutwa kutupigisha umbea wa mkewe insta....mwanaume ana mdomo sijaona chaaa...wanaume wa pwani shkamoo. .huko jimboni kwake wanamuona kweli?
Tatizo sijamtia Siku nyingi machoni....!ulifikiri ameamishwa chairity wako hahahahhaaa yupo
Kapewa Land rover Discovery na clouds! Kama issue ni gari!Gadner nae mmbea, wakat anaendesha Murano ya Jide na Range Rover alikua hajutii? leo katoswa ndo anajifanya nyoko nyoko, atajibeba mwaka huu, ndio maana matapishi ya Clouds
Kwani amesema yuko chini? Actually kasema ni public figure unadhani ana maana gani?!?!?!jide yupo juu akae akijua
Umbea wake uko wapi?!?!? Unaelewa maana ya mke wa KWanza au unasikia tu! Hebu muacheni Gadner na maisha yake!Gadner nae mmbea, wakat anaendesha Murano ya Jide na Range Rover alikua hajutii? leo katoswa ndo anajifanya nyoko nyoko, atajibeba mwaka huu, ndio maana matapishi ya Clouds